Watu wa PSU huyo Bodyguard wa Kike wa Mama apunguze Unene na kuwa na Sura ya Kukasirika mno

Kwa nilivyomuona Siku ya Simba Day hasa walipokuwa mule ndani Uwanjani ambako Mheshimiwa Rais Samia alikuwa akipokea Maelekezo kutoka kwa CEO wa Simba SC Imani Kajula niligundua Mambo kadhaa.

Sina shaka na Uwezo wake wa Kiutendaji nikiamini kuwa hadi Watu wa PSU wamemchagua Kumlinda Mama (Mheshimiwa Rais) Basi atakuwa yuko vyema.

Concern yangu GENTAMYCINE Kwake huyo Dada (Bodyguard) wa Rais Samia ni kule kuwa Mnene mno hadi kuna wakati nilikuwa nikiona Uzito wake unavyomsumbua hata alivyokuwa akitembea.

Lingine natambua kuwa Walinzi wa Marais (Bodyguards) wanatakiwa kuwa na Sura za Kazi Kazi ( Sura Ngumu Kimedani ) ila kwa huyu Dada (Mlinzi Tipwa Tipwa) wa Rais yeye muda mwingi niikuwa namuona ana Sura ya Makasiriko (Usununu) tu na siyo Sura ya Kazi mpaka nikawa najiuliza maswali mengi na sikupata majibu yake.

GENTAMYCINE sitosikia furaha nikimaliza kuandika huu Uzi bila Kumpongeza yule Dada ( Bodyguard ) mwingine wa Mama ( Rais ) Samia ambaye ana Mwili mzuri kimwonekano, hajanenepeana vibaya kama Vitumbua vya Mama Chiku Tandale, ana Composure nzuri, body language yake inakupa uhakika kuwa Mama yuko katika Mikono salama Kiulinzi, hana Mbwebwe, ana Umakini mkubwa, yuko sharp na sikushangaa nilipoona baadae Yeye ndiyo alikuwa karibu zaidi na Mama (Rais) Kiutendaji na Kimaelekezo.

Huyu nimemkubali sana na niwaombeni tu Watu wa PSU tafadhali nifikishieni hizi Pongezi zangu GENTAMYCINE Kwake na namtakia Majukumu mema kwani Kazi anaiweza na anaijua tofauti na Mwenzake ambaye ana Mapungufu niliyoyaorodhesha na mkiweza msaidieni ili aondokane nayo.

Kwa wale Walinzi wa Kiume wa Mama (Rais Samia ) sina tatizo nanyi, mko vyema na mnachonifurahisha zaidi ni kwamba hamjiachii na Kunenepeana hovyo kama Panya Buku wa Nanyamba Mtwara kama walivyokuwa Wenzenu fulani fulani ( wa Awamu niliyoisahau ) ambao Wao baadhi yao si tu kwamba Walinenepeana bali walikuwa pia ni Mabingwa wa Kufakamia Mivyakula (Mipochopocho) ya Ikulu zetu hadi wakawa Wavivu kama Paka wa Hoteli ya Yamungu Mengi ya Ilala Shariff Shamba Dar es Salaam.

ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat (hali ya kutaka Kupandwa na Dume) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Upumbavu tu.umeandika
 
WE HUKUSOMA HAPO!!?
Kwa Upumbavu mkubwa alionao ulitegemea kweli angesoma hapo? Mkuu huwa siwaelewi hawa Watu yaani Wao ndiyo Kutwa wanasema kuwa Wananichukia GENTAMYCINE na hawapendi Uwasilishaji wangu wa Masuala Mtambuka lakini cha Kushangaza Wao ndiyo Kutwa wanaongoza Kusoma Mada ( Threads ) zangu mbalimbali hapa JamiiForums kuzichangia kama hivi na Wengine hata kunipa Likes zao.

Shani / Tunu zangu tukuka nilizopewa na Mwenyezi Mungu na hii Natural Charm yangu inawatesa na itawatesa mno kama siyo sana.
 
Nikurekebishe, Rais hapewi maelekezo na mtu yeyote bali ni maelezo. Yeye ndiye hutoa maelekezo.

Pia katika hali ya kawaida afisa wa ngazi ya chini hawezi kumpatia maelekezo afisa wa juu yake bali wa juu ndiye hutoa maelekezo kwa wa chini yake.
Anza Kwanza kurekebisha Ubongo wako mbovu ndipo uje Kunirekebisha hapa sawa?

Hopeless.
 
Mbona kama kuna kitu kinakusumbua kichwani aliyekuambia yule mwanamke mnene ndiye final kiulinzi ni nani?

Na huyo ADC kwenye command ya Rais unayajua majukumu yake? Au ulifanywa vibaya na maparatropper Sasa hasira zako zinaishia hapa?

Intelligence unaijua wewe,

Mademu unawajua wewe,

Akili unazo wewe,

Mpira unaujua wewe,

Pole kwa unayopitia ni dhahiri , jamiiforum ni sehemu inayokupa faraja kwa threads zako za kiwaki.

Pia Kuna kasoro kwenye makuzi yako pole sana siyo bure mtu gani huna heshima.

Ukute huna hata hela ya kula masikini
Unanichukia ( Mnanichukia ) na Hunikubali ( Hamnikubali ) halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia ( mnanifuatilia ) hapa JamiiForums kwa ama Kuzisoma Threads
au hata Posts zangu. Mimi mbona siwashobokei?

Nashauri kwakuwa nimekuwa Chukizo Kwenu naomba msiwe hata mnawashwawashwa Kusoma Mada zangu hapa JamiiForums bali kasomeni / kazisomeni za wale mnaowana ni bora zaidi yangu na mnawakubali.

Mnaboa na Kukera...!!

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Kuna Mambo yamekuzidi umri, kojoa ukalale
Unanichukia ( Mnanichukia ) na Hunikubali ( Hamnikubali ) halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia ( mnanifuatilia ) hapa JamiiForums kwa ama Kuzisoma Threads
au hata Posts zangu. Mimi mbona siwashobokei?

Nashauri kwakuwa nimekuwa Chukizo Kwenu naomba msiwe hata mnawashwawashwa Kusoma Mada zangu hapa JamiiForums bali kasomeni / kazisomeni za wale mnaowana ni bora zaidi yangu na mnawakubali.

Mnaboa na Kukera...!!

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Unanichukia ( Mnanichukia ) na Hunikubali ( Hamnikubali ) halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia ( mnanifuatilia ) hapa JamiiForums kwa ama Kuzisoma Threads
au hata Posts zangu. Mimi mbona siwashobokei?

Nashauri kwakuwa nimekuwa Chukizo Kwenu naomba msiwe hata mnawashwawashwa Kusoma Mada zangu hapa JamiiForums bali kasomeni / kazisomeni za wale mnaowana ni bora zaidi yangu na mnawakubali.

Mnaboa na Kukera...!!

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Upumbavu tu.umeandika
Unanichukia ( Mnanichukia ) na Hunikubali ( Hamnikubali ) halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia ( mnanifuatilia ) hapa JamiiForums kwa ama Kuzisoma Threads
au hata Posts zangu. Mimi mbona siwashobokei?

Nashauri kwakuwa nimekuwa Chukizo Kwenu naomba msiwe hata mnawashwawashwa Kusoma Mada zangu hapa JamiiForums bali kasomeni / kazisomeni za wale mnaowana ni bora zaidi yangu na mnawakubali.

Mnaboa na Kukera...!!

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat (hali ya kutaka Kupandwa na Dume) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

UMUGHAKA unaliongeleaje hili.
 
Tuanze Kwanza na Wewe Moron and a Hypocrite unaliongeleaje hilo labda?
 
Unanichukia ( Mnanichukia ) na Hunikubali ( Hamnikubali ) halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia ( mnanifuatilia ) hapa JamiiForums kwa ama Kuzisoma Threads
au hata Posts zangu. Mimi mbona siwashobokei?

Nashauri kwakuwa nimekuwa Chukizo Kwenu naomba msiwe hata mnawashwawashwa Kusoma Mada zangu hapa JamiiForums bali kasomeni / kazisomeni za wale mnaowana ni bora zaidi yangu na mnawakubali.

Mnaboa na Kukera...!!

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Umaarufu wako unasaidia Nini wakati unatumia I'd fake, jitokeze taifa likujue
 
Kwa nilivyomuona Siku ya Simba Day hasa walipokuwa mule ndani Uwanjani ambako Mheshimiwa Rais Samia alikuwa akipokea Maelekezo kutoka kwa CEO wa Simba SC Imani Kajula niligundua Mambo kadhaa.

Sina shaka na Uwezo wake wa Kiutendaji nikiamini kuwa hadi Watu wa PSU wamemchagua Kumlinda Mama (Mheshimiwa Rais) Basi atakuwa yuko vyema.

Concern yangu GENTAMYCINE Kwake huyo Dada (Bodyguard) wa Rais Samia ni kule kuwa Mnene mno hadi kuna wakati nilikuwa nikiona Uzito wake unavyomsumbua hata alivyokuwa akitembea.

Lingine natambua kuwa Walinzi wa Marais (Bodyguards) wanatakiwa kuwa na Sura za Kazi Kazi ( Sura Ngumu Kimedani ) ila kwa huyu Dada (Mlinzi Tipwa Tipwa) wa Rais yeye muda mwingi niikuwa namuona ana Sura ya Makasiriko (Usununu) tu na siyo Sura ya Kazi mpaka nikawa najiuliza maswali mengi na sikupata majibu yake.

GENTAMYCINE sitosikia furaha nikimaliza kuandika huu Uzi bila Kumpongeza yule Dada ( Bodyguard ) mwingine wa Mama ( Rais ) Samia ambaye ana Mwili mzuri kimwonekano, hajanenepeana vibaya kama Vitumbua vya Mama Chiku Tandale, ana Composure nzuri, body language yake inakupa uhakika kuwa Mama yuko katika Mikono salama Kiulinzi, hana Mbwebwe, ana Umakini mkubwa, yuko sharp na sikushangaa nilipoona baadae Yeye ndiyo alikuwa karibu zaidi na Mama (Rais) Kiutendaji na Kimaelekezo.

Huyu nimemkubali sana na niwaombeni tu Watu wa PSU tafadhali nifikishieni hizi Pongezi zangu GENTAMYCINE Kwake na namtakia Majukumu mema kwani Kazi anaiweza na anaijua tofauti na Mwenzake ambaye ana Mapungufu niliyoyaorodhesha na mkiweza msaidieni ili aondokane nayo.

Kwa wale Walinzi wa Kiume wa Mama (Rais Samia ) sina tatizo nanyi, mko vyema na mnachonifurahisha zaidi ni kwamba hamjiachii na Kunenepeana hovyo kama Panya Buku wa Nanyamba Mtwara kama walivyokuwa Wenzenu fulani fulani ( wa Awamu niliyoisahau ) ambao Wao baadhi yao si tu kwamba Walinenepeana bali walikuwa pia ni Mabingwa wa Kufakamia Mivyakula (Mipochopocho) ya Ikulu zetu hadi wakawa Wavivu kama Paka wa Hoteli ya Yamungu Mengi ya Ilala Shariff Shamba Dar es Salaam.

ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat (hali ya kutaka Kupandwa na Dume) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Hilo angalizo nimecheka sana😂
 
Back
Top Bottom