Watu wa PSU huyo Bodyguard wa Kike wa Mama apunguze Unene na kuwa na Sura ya Kukasirika mno

Kwa nilivyomuona Siku ya Simba Day hasa walipokuwa mule ndani Uwanjani ambako Mheshimiwa Rais Samia alikuwa akipokea Maelekezo kutoka kwa CEO wa Simba SC Imani Kajula niligundua Mambo kadhaa.

Sina shaka na Uwezo wake wa Kiutendaji nikiamini kuwa hadi Watu wa PSU wamemchagua Kumlinda Mama (Mheshimiwa Rais) Basi atakuwa yuko vyema.

Concern yangu GENTAMYCINE Kwake huyo Dada (Bodyguard) wa Rais Samia ni kule kuwa Mnene mno hadi kuna wakati nilikuwa nikiona Uzito wake unavyomsumbua hata alivyokuwa akitembea.

Lingine natambua kuwa Walinzi wa Marais (Bodyguards) wanatakiwa kuwa na Sura za Kazi Kazi ( Sura Ngumu Kimedani ) ila kwa huyu Dada (Mlinzi Tipwa Tipwa) wa Rais yeye muda mwingi niikuwa namuona ana Sura ya Makasiriko (Usununu) tu na siyo Sura ya Kazi mpaka nikawa najiuliza maswali mengi na sikupata majibu yake.

GENTAMYCINE sitosikia furaha nikimaliza kuandika huu Uzi bila Kumpongeza yule Dada ( Bodyguard ) mwingine wa Mama ( Rais ) Samia ambaye ana Mwili mzuri kimwonekano, hajanenepeana vibaya kama Vitumbua vya Mama Chiku Tandale, ana Composure nzuri, body language yake inakupa uhakika kuwa Mama yuko katika Mikono salama Kiulinzi, hana Mbwebwe, ana Umakini mkubwa, yuko sharp na sikushangaa nilipoona baadae Yeye ndiyo alikuwa karibu zaidi na Mama (Rais) Kiutendaji na Kimaelekezo.

Huyu nimemkubali sana na niwaombeni tu Watu wa PSU tafadhali nifikishieni hizi Pongezi zangu GENTAMYCINE Kwake na namtakia Majukumu mema kwani Kazi anaiweza na anaijua tofauti na Mwenzake ambaye ana Mapungufu niliyoyaorodhesha na mkiweza msaidieni ili aondokane nayo.

Kwa wale Walinzi wa Kiume wa Mama (Rais Samia ) sina tatizo nanyi, mko vyema na mnachonifurahisha zaidi ni kwamba hamjiachii na Kunenepeana hovyo kama Panya Buku wa Nanyamba Mtwara kama walivyokuwa Wenzenu fulani fulani ( wa Awamu niliyoisahau ) ambao Wao baadhi yao si tu kwamba Walinenepeana bali walikuwa pia ni Mabingwa wa Kufakamia Mivyakula (Mipochopocho) ya Ikulu zetu hadi wakawa Wavivu kama Paka wa Hoteli ya Yamungu Mengi ya Ilala Shariff Shamba Dar es Salaam.

ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat (hali ya kutaka Kupandwa na Dume) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Ni Wivu Tuu.
 
Mkuu kama wewe una muona Genta ni exceptional humu sijui wewe unajichukuliaje, au wewe ni moja ya wale mnaotamani muwe na wazazi ambao ni jirani zenu
Tunatofautiana namna ya kutazama jambo...ukiacha mkumbo na ushabiki pamoja na chuki,alafu ukatuliza akili utaona genta huwa anaandika facts only in a very hard language. So kwangu Mimi ni exceptional who can view something from a very acute angle.
 
Wewe ni mkurya gani unaimba taarabu? Nais umevaa shanga wewe sio bure na umetoboa pua na umewekewa kisoda takoni
Aleleluyaaaa!
 
Tunatofautiana namna ya kutazama jambo...ukiacha mkumbo na ushabiki pamoja na chuki,alafu ukatuliza akili utaona genta huwa anaandika facts only in a very hard language. So kwangu Mimi ni exceptional who can view something from a very acute angle.
Sawa mkuu, una haki ya kujifanya au kujiona hivyo. Dunia ina mengi na watu wa aina tofauti kama ambavyo Tanzania kuna mtu kama wewe japo waweza ukawa hauko huko Tanzania.
 
Kwa nilivyomuona Siku ya Simba Day hasa walipokuwa mule ndani Uwanjani ambako Mheshimiwa Rais Samia alikuwa akipokea Maelekezo kutoka kwa CEO wa Simba SC Imani Kajula niligundua Mambo kadhaa.

Sina shaka na Uwezo wake wa Kiutendaji nikiamini kuwa hadi Watu wa PSU wamemchagua Kumlinda Mama (Mheshimiwa Rais) Basi atakuwa yuko vyema.

Concern yangu GENTAMYCINE Kwake huyo Dada (Bodyguard) wa Rais Samia ni kule kuwa Mnene mno hadi kuna wakati nilikuwa nikiona Uzito wake unavyomsumbua hata alivyokuwa akitembea.

Lingine natambua kuwa Walinzi wa Marais (Bodyguards) wanatakiwa kuwa na Sura za Kazi Kazi ( Sura Ngumu Kimedani ) ila kwa huyu Dada (Mlinzi Tipwa Tipwa) wa Rais yeye muda mwingi niikuwa namuona ana Sura ya Makasiriko (Usununu) tu na siyo Sura ya Kazi mpaka nikawa najiuliza maswali mengi na sikupata majibu yake.

GENTAMYCINE sitosikia furaha nikimaliza kuandika huu Uzi bila Kumpongeza yule Dada ( Bodyguard ) mwingine wa Mama ( Rais ) Samia ambaye ana Mwili mzuri kimwonekano, hajanenepeana vibaya kama Vitumbua vya Mama Chiku Tandale, ana Composure nzuri, body language yake inakupa uhakika kuwa Mama yuko katika Mikono salama Kiulinzi, hana Mbwebwe, ana Umakini mkubwa, yuko sharp na sikushangaa nilipoona baadae Yeye ndiyo alikuwa karibu zaidi na Mama (Rais) Kiutendaji na Kimaelekezo.

Huyu nimemkubali sana na niwaombeni tu Watu wa PSU tafadhali nifikishieni hizi Pongezi zangu GENTAMYCINE Kwake na namtakia Majukumu mema kwani Kazi anaiweza na anaijua tofauti na Mwenzake ambaye ana Mapungufu niliyoyaorodhesha na mkiweza msaidieni ili aondokane nayo.

Kwa wale Walinzi wa Kiume wa Mama (Rais Samia ) sina tatizo nanyi, mko vyema na mnachonifurahisha zaidi ni kwamba hamjiachii na Kunenepeana hovyo kama Panya Buku wa Nanyamba Mtwara kama walivyokuwa Wenzenu fulani fulani ( wa Awamu niliyoisahau ) ambao Wao baadhi yao si tu kwamba Walinenepeana bali walikuwa pia ni Mabingwa wa Kufakamia Mivyakula (Mipochopocho) ya Ikulu zetu hadi wakawa Wavivu kama Paka wa Hoteli ya Yamungu Mengi ya Ilala Shariff Shamba Dar es Salaam.

ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat (hali ya kutaka Kupandwa na Dume) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Leo hii nilimuona na hilo nililiona yuko tofauti kbs na siku anaanza kazi hiyo nikajiuliza maswali mengi jibu likawa huenda Hana muda wa mazoezi
 
Back
Top Bottom