YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Waziri Jafo Ni waziri aliyoitenendea haki wizara ya Serikali ya mitaa kuliko waziri yeyote toka Tanzania ipate Uhuru.
Kama ilivyo watu wa Pwani hatuna ubinafsi tunakaribisha wawekezaji wazawa toka Tanzania nzima,Wawe wachaga,wapemba au makabila yote nchi nzima wote wamejaa Dar es salaam na Pwani .Bomu likipigwa Dar es salaam na Pwani Tanzania nzima itakuwa misiba sababu makabila yote ya Tanzania yako Dar es salaam na Pwani kwa ukarimu wa watu wazawa wa Dar es salaam na Pwani anakotokea Jafo.
Jafo amepeleka Maendeleo mikoa yote halmashauri zote na Manispaa na majiji yote Tanzania nzima bila kujali watu wa Pwani wako hiyo mikoa au la.
Kuna mikabila inajijali yenyewe ingepewa hiyo wizara isingesambaza Maendeleo mikoa mingine ingejaza Maendeleo mikoa yao tu.
Kuna Mikoa ilipewa uwaziri tu wa fedha ,benki kuu na TRA,kampuni ya Simu ,Tanesco nk kila kitu walipeleka kwao na kujazana wenyewe