luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Ulitaka tufanyeje? Nyie kipindi hicho si mlikuwa busy kucheza bao? Mkakataa elimu sasa maendeleo mngepateje? Chagas Wana spirit ya maendeleo acha wivu ,mchaga hata kama hajasoma unakuta Ana maendeleo makubwa ,kuzaliwa uchagani tu Ni degree ya maendeleo [emoji3][emoji3] karibu uchagani upate semina ekekeziSio Nyerere watu wa kaskazini aliwapa post kibao akijua mumesoma Sana kuliko makabila mengine akadhani mna utaifa mtasaidia nchi kumbe ukabila haujawaisha na elimu zenu.
Wachaga serious mlimwangusha Nyerere Sana.Aliwaamini kwa usomi wenu kuwa mna spirit ya kitaifa akawaweka kila Kona kumbe hamna kitu hamna National Spirit mnawaza machame na kishumundu tu hata msomeshwe ulaya na mpewe post kubwa