Nilisema humu 2013 kwamba 2015 Rais ni Mh John Joseph Pombe Magufuli na nasema tna leo 2019 kuwa 2025 Rais ni Mh Seleman Jafo Yombo Lukinga Mojaaaaaaa
..kama ccm wanataka Jafo awe mgombea wao basi wamteue Waziri wa Mambo nje, au wamteue we balozi ili awe na upeo mkubwa zaidi.
..sasa hivi nchi inapwaya na kuonekana kituko kwa sababu bwana mkubwa ana upeo mdogo sana kimataifa na hajui dunia inakwenda wapi.
..Tz inategemewa kuwa wakati wote Raisi wake kuwa ni intellectual heavy weight; anayeweza kuongoza na kuwasemea Maraisi wa nchi nyingine za Afrika ktk masuala mbalimbali.