Watu wa Singida wamewafunika wale wa Dodoma kwa mbali

Watu wa Singida wamewafunika wale wa Dodoma kwa mbali

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima,

Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na wengineo wakati Dodoma zilipendwa wakina Malecella na spika Ndugai. Je kuna ukweli?
 
TUNATAKA LISSU AWE NJE PERIOD NGONJERA ZA MZUMBE ,ILBORU HAZISAIDII KWA SASA
 
Back
Top Bottom