digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Dah ni kweli , katoni moja ya limu nikuwa nanunua kwa sh 36,000 Mimi nauza sh 12,000 kwa reje reja, hii ilikuwa mwezi wa nane Hadi wa kumi mwaka jana, imeenda inapanda Hadi kwa Sasa Ni sh 72,000 kwa katoni , hii imepelekea niachane na uuzaji wa limu kwa mazingira niliyopo, maana ili nipate faida itanibidi niuze kwa sh 17,000 Hadi 20,000,kitu ambacho Ni ngumu.