digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Sema wewe kiwanda gani inafanya kazi tzUna uhakika?
Sasa kaki ndo rimu? Una akili weee? Kiwanda kimekufa toka 2002 hukoTanzania tuna kiwanda cha karatasi cha Mgololo kilichopo Mufindi Iringa! Kwa bahati mbaya kinazalisha makaratasi ya kaki tu!
Ili kupata karatasi nyeupe, inatulazimu kama nchi kuagiza kutoka nje.
Msijenge pia vifaa havishishikiTupunguze matumizi ya karatasi na haswa matumizi ya karatasi nyeupe.
Hakuna kiwanda cha karatasi za photocopy au printing paper kimewahi tengeneza Tanzania mwanzo Mufindi walikua wanatengeneza duplicating paperKuna jamaa yuko I-print ananileteaga rim
Badala ya kujenga nyumba yenye rumu 5 unajenga yenye rumu 3Msijenge pia vifaa havishishiki
Umesema kitu sahihiPole sana mkuu japo nitashambuliwa lakn
Bahati mbaya Sana upo katika nchi ambayo Haina Rais
Subirin 2025 mtachagua Rais wa mioyo yenu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Katoni moja inazo limu ngapi?Dah ni kweli , katoni moja ya limu nikuwa nanunua kwa sh 36,000 Mimi nauza sh 12,000 kwa reje reja, hii ilikuwa mwezi wa nane Hadi wa kumi mwaka jana, imeenda inapanda Hadi kwa Sasa Ni sh 72,000 kwa katoni , hii imepelekea niachane na uuzaji wa limu kwa mazingira niliyopo, maana ili nipate faida itanibidi niuze kwa sh 17,000 Hadi 20,000,kitu ambacho Ni ngumu.
Limu 5Katoni moja inazo limu ngapi?