Shughuli hiyo ya matibabu ilifanyika katika hospitali ya jimbo la Lakes na hospitali ya wanawake ya Kiir iliyojengwa kwa msaada wa China.
Wakazi wengi walikwenda kupata matibabu, na kila siku madaktari wa China walipokea wagonjwa karibu elfu moja, na kutoa dawa bila malipo.