Watu wa Sudan Kusini watarajia kikundi cha madaktari wa China kirudi tena

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
kikundi cha tisa cha madaktari wa China nchini Sudan Kusini jana ilikamilisha majukumu yake ya kimatibabu katika jimbo la Lakes kwa siku tano, na kurudi katika mji mkuu Juba. Wakazi wa jimbo hilo wanatarajia kuwa madaktari wa China watarudi tena.

Shughuli hiyo ya matibabu ilifanyika katika hospitali ya jimbo la Lakes na hospitali ya wanawake ya Kiir iliyojengwa kwa msaada wa China.

Wakazi wengi walikwenda kupata matibabu, na kila siku madaktari wa China walipokea wagonjwa karibu elfu moja, na kutoa dawa bila malipo.
 
Write your reply...huko kunaonekana pazur kutafuta chaka maana kuna uhaba sana wa watoa huduma ila huwa hapachelewi kuibuka banyamlenge mnasombwa wote mkapigane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…