JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
Ni aibu kwa alumnus wa UDSM kujitangaza kuwa anawaza pombe na wanawake wa baa kiasi hicho!Niliunga jf 2008 nikiwa 2nd year UDSM Naona miaka hiyo ulikuwa unavaa pampers Na kujisaidia kwenye poti..mi faza wewe.
hivi kwanini bank nyingi kuna warembo wakaliSasa unataka mwanamke mrembo umkute bar?nenda bank,ubalozini na sehemu nyingine km hizo utawapata..kupenda vya bure tu mfyuuuuuuuu
kuna watu waongo sana we jamaa jukwaa lako no lile la kubet afu nakumbuka ulishawahi kuja na thread ya malalamiko kuhusu kuibiwa vitu vya geto huko kigoma Leo unaishi masakiNyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.
Siji tena hukuu
Hilo hata mi sijalipatiaga majibu wadada wa benki ni wazuri aseee acha kabisahivi kwanini bank nyingi kuna warembo wakali
unakaa masaki unaenda kulamba beer tmk,tbt kweli wewe utakuwa muhudumu wa bustani leo umetoka na pkpk bosi kasafiri,haiwezekani utoke masaki hadi tmk kisa lite baridiiiNyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.
Siji tena hukuu
Sasa mkuu unapodai hakuna warembo na akina dada watadai hakuna mahandsome! Hahahahaaa!Nyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.
Siji tena hukuu
Aje ang'atwe na nyoka?huko maporini.Ni ukweli ila huja uweka vizuri Hongera sasa ungesogea buza ni noma
Hawajakubaka huko? Kiumeni wanaona Wanaume wa Masaki kama mademu tuNyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.
Siji tena hukuu
Nakubaliana na wewe.usimuite mshamba maybe yupo level ya kwanz ya unywaji... nakumbuka hata mimi nilipooanza kupiga vyombo miaka ya 1996/7 nilikuwa nipenda kwenda bar ambayo ni ina warembo wakali, kelele sana za mziki ila nlipofikia master level ya unywaj nlipenda bar isiyo na fujo, wahudumu wa kawaida maana ilikuwa nadla kuona watu wanawapigania nk... so tumpe muda jamaa na yy atakuja level zetu
Ilitakiwa wakusoma uulizie maktaba ziko wapi ukaongeze elimu
Utajua nn wewe mtoto wa juzi kizazi cha kanumba..ikutoshe tu..nafanya bandari..bandari Na temeke ni Kama chupi Na yako..ila home swiri home masakiiiunakaa masaki unaenda kulamba beer tmk,tbt kweli wewe utakuwa muhudumu wa bustani leo umetoka na pkpk bosi kasafiri,haiwezekani utoke masaki hadi tmk kisa lite baridiii
Wakusoma bana ! Kwani unakunywa warembo au prezidenti.Nyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.
Siji tena hukuu
image hamna kitu pale pamepoooa vijitu vya uswahilini tu ndo vipo paleWw temeke ndy mpango kuna image pub noma sana tena Kama leo adi usiku mkali
Veternary hii ipo kumbe mkuu ndo kiwanja chako hapo?Ww temeke ndy mpango kuna image pub noma sana tena Kama leo adi usiku mkali
Faculty ya ngonoNi aibu kwa alumnus wa UDSM kujitangaza kuwa anawaza pombe na wanawake wa baa kiasi hicho!