Watu wa Temeke mnaaishije bar chafu na hazina warembo?

Sasa unataka mwanamke mrembo umkute bar?nenda bank,ubalozini na sehemu nyingine km hizo utawapata..kupenda vya bure tu mfyuuuuuuuu
 
Kwa hiyo kwenu ni masaki..ok..naona umetia msisitizo
 
Nyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.

Siji tena hukuu
kuna watu waongo sana we jamaa jukwaa lako no lile la kubet afu nakumbuka ulishawahi kuja na thread ya malalamiko kuhusu kuibiwa vitu vya geto huko kigoma Leo unaishi masaki
 
Nyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.

Siji tena hukuu
unakaa masaki unaenda kulamba beer tmk,tbt kweli wewe utakuwa muhudumu wa bustani leo umetoka na pkpk bosi kasafiri,haiwezekani utoke masaki hadi tmk kisa lite baridiii
 
Ni ukweli ila huja uweka vizuri Hongera sasa ungesogea buza ni noma
 
Nyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.

Siji tena hukuu
Sasa mkuu unapodai hakuna warembo na akina dada watadai hakuna mahandsome! Hahahahaaa!
 
Mkuu Temeke ni sehemu ya Chap kwa haraka.
 
Mtoa post ni mshamba. Bar unafuata bia au wanawake?
Halafu huijui temeke next time uliza maeneo ya matukio uonyeshwe.
 
Nyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.

Siji tena hukuu
Hawajakubaka huko? Kiumeni wanaona Wanaume wa Masaki kama mademu tu
 
usimuite mshamba maybe yupo level ya kwanz ya unywaji... nakumbuka hata mimi nilipooanza kupiga vyombo miaka ya 1996/7 nilikuwa nipenda kwenda bar ambayo ni ina warembo wakali, kelele sana za mziki ila nlipofikia master level ya unywaj nlipenda bar isiyo na fujo, wahudumu wa kawaida maana ilikuwa nadla kuona watu wanawapigania nk... so tumpe muda jamaa na yy atakuja level zetu
Nakubaliana na wewe.
 
unakaa masaki unaenda kulamba beer tmk,tbt kweli wewe utakuwa muhudumu wa bustani leo umetoka na pkpk bosi kasafiri,haiwezekani utoke masaki hadi tmk kisa lite baridiii
Utajua nn wewe mtoto wa juzi kizazi cha kanumba..ikutoshe tu..nafanya bandari..bandari Na temeke ni Kama chupi Na yako..ila home swiri home masakiii
 
Nyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home.

Siji tena hukuu
Wakusoma bana ! Kwani unakunywa warembo au prezidenti.
 
Back
Top Bottom