1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
bora huko nyie wajanjaMkuu labda huko kwenu lakini sisi tukienda moshi huwa hatutamani kurudi dasilamu sema basi tu majukumu ya kimaisha,,ila sijawahi kumuona mtu anaenda moshi anaboreka aisee
hahaha, cha ajabu nikitimba town hamuonekaniKwaiyo ukitusikia tunasema hivyo huwa unatamani sana kuwa sisi sio?
Nipo mimi hapa mkuuhahaha, cha ajabu nikitimba town hamuonekani
ntakutafuta mkuuNipo mimi hapa mkuu
Nitafute tu mkuu mimi nipo tuntakutafuta mkuu
Itakuwa wanakuogopa tuWanaume wa dar wakija mkoani wanaijishaua sasa subiri uende Dar mpaka unarud mkoani huwez kuonana naye
Wacha nitimbe kilimanjaro kuna best yangu kuleMkuu labda huko kwenu lakini sisi tukienda moshi huwa hatutamani kurudi dasilamu sema basi tu majukumu ya kimaisha,,ila sijawahi kumuona mtu anaenda moshi anaboreka aisee
Hawaniogopi wanakaa tandika na tandale chumba kinatisha akija mkoani full masifa nakaa Masaki mfyuuuuItakuwa wanakuogopa tu
Karibu sana ila utaenjoy zaida ukitimba kule miezi ya pasaka au mwisho wa mwakaWacha nitimbe kilimanjaro kuna best yangu kule
Duh! [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hawaniogopi wanakaa tandika na tandale chumba kinatisha akija mkoani full masifa nakaa Masaki mfyuuuu
Ukienda Dar anakupiga porojo eti mkutane Platnum Mapinga au kibo complex Tegeta kujifanya yuko vizur kumbe anakaa Mwananyamala komakoma ndani ndani.
Wanaume wengi wa Dar ni Mayahaya
Mkahasabiwe?[emoji23]Karibu sana ila utaenjoy zaida ukitimba kule miezi ya pasaka au mwisho wa mwaka
Yap na ufikeeee tu na siku hizi nasikia Dar wanakodisha magari kwa sikuuu elf 20,Duh! [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Umetisha sana naona ujumbe umefika