Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
Kauli zenu zinatufanya tujione wanyonge,,

[emoji117] "yaan hapa hakuna mzunguko" kabisa wa pesa
[emoji117] "yaan hata weekend hakuna pa kwenda"
[emoji117]" nimekuja mara moja kumcheki mother kesho nasepa'
[emoji117]"nimekuja ktk sherehe mara moja kesho nasepa"


muwe mnakaa hata week basi ujue tume wa miss[emoji16] [emoji16]

CHA AJABU nikiingia town kwao huwa wengine wananikwepa, utawaaskia "leo niko bizee joh kesho ntakuchek"

kesho hapatikani, basi mi nafanya yangu then nageuka mkoa[emoji1]
 
Hawaniogopi wanakaa tandika na tandale chumba kinatisha akija mkoani full masifa nakaa Masaki mfyuuuu

Ukienda Dar anakupiga porojo eti mkutane Platnum Mapinga au kibo complex Tegeta kujifanya yuko vizur kumbe anakaa Mwananyamala komakoma ndani ndani.

Wanaume wengi wa Dar ni Mayahaya
Duh! [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Umetisha sana naona ujumbe umefika
 
Duh! [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Umetisha sana naona ujumbe umefika
Yap na ufikeeee tu na siku hizi nasikia Dar wanakodisha magari kwa sikuuu elf 20,
Anakodi anakufata nalo mpaka ubungo unasema bwana si ndo huyu anakupeleka kwenye zile nyumba za Mbweni wanazoachiwaga na matajir kusimamia zisichafuke unasemaaa eeeh mm ndo mother house wa mjengo looooooh wanaume wa dar mna dhambiii
 
Back
Top Bottom