Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo litakuwa picha la kihindiiii....

Naomba nikija huko hakuna kuwasha data simu isijezima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nitazima simu kabisa ukiwa unakaribia kufika ndio nawasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…