1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #201
shemej mzima[emoji16]Nafurahi kaka angu kusikia hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shemej mzima[emoji16]Nafurahi kaka angu kusikia hivyo
Poleni muache fixs na tabia za kuleta watoto tuwalee kijijin nyie mbaki dar kwa raha muacheeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtuache jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KAMA RAISI TU ANAPENDA MAMBO MAZURI SEMBUSE DEMISS THUBUTU LABDA MUNGU NDO HAPENDIwanawake wengi wanapenda vitu vinavyoonekana kama hayo magari ndio maana.
Bwana weeh haitazimaSasa simu ikizima itakuwaje jamanii
Mbadilike kidogo jamaniMtuacheee na madaladala yetu wivu tu
Kumbuka vizuri hebu!dada mm sijawai kuwa na roho mbaya kiasi hicho
Maajabuhahahahah [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan nitakoma na transfoma ilivyozingua siku mbiliNa siku hizi ndio katabia kake kakusingizia transformer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
EwaaaaaNa siku hizi ndio katabia kake kakusingizia transformer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na sisi tunaosimamia mwendokasi inakuwaje etiWewe hujui humu JF wote wana magari?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MBAGALA unapandia gari dirishani wamkoani nimezoea napanda gari unaaanza kusubiria watu maajabu
Mzima sana kaka angu anakusalimiashemej mzima[emoji16]
YaaniMnanikumbusha utotoni tukienda kumtembelea bibi sisi wa Dar ndio tulikuwa ma star, wa mikoa mingine wanasubiri...naona wa mikoani mnaendeleza bifu
Tena nimekumbuka wa mkoani tunapenda sana nyimbo za gospel ila wa Dar singeli na vigoma vya UruguayWe cheka tuu...
Wanakariri nyimbo hao utadhani wako na mpango wa kutoa remix...
Hao wanaowaacha watoto wao wana roho ngumu mnooPoleni muache fixs na tabia za kuleta watoto tuwalee kijijin nyie mbaki dar kwa raha muacheeeee
EwaaaaaaaBasi sawa nitakuwa nakwambia unipe mitaa nikariri kama watu wa dar
HahahahaaBwana weeh haitazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nitazima simu kabisa ukiwa unakaribia kufika ndio nawasha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo litakuwa picha la kihindiiii....
Naomba nikija huko hakuna kuwasha data simu isijezima
Usiniambie ulitaka kuvishwa maderaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mekumbuka mbali sana jamani.... Wewe sio mtu mzuriii