Ndio najitahidi kuwaeleza [emoji23]tell them [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mnataka mabadiliko gani kwa mfanoMbadilike kidogo jamani
Wanaziimba ka wamemeza CD, na kile kiswahili chao sasaTena nimekumbuka wa mkoani tunapenda sana nyimbo za gospel ila wa Dar singeli na vigoma vya Uruguay
Wa mkoani pia huwa tunapenda nyimbo za mamtoni
Hawa washamba wa mikoani wanazingua.Na sisi tunaosimamia mwendokasi inakuwaje eti
nisamehe tu dada yanguKumbuka vizuri hebu!
Ujue nilielewa kweli ulikuwa busy
Hahaaaaha alafu wanabakishaga soda nusu wakifika wanakupa umalizie shenzwiiii kabisaYaani
Hata mayai anapewa wa Dar, we unakula mkate mkavu walokuja nao watu wa Dar
Hatuwaachi tunataka tuwarekebishe kidogo, ooh dar dar dar kwani dar imekuwa mbinguni mpunguze kujishaua mfyuuuuu [emoji57][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtuache jamani
Khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nitazima simu kabisa ukiwa unakaribia kufika ndio nawasha
Wadada wa DarHao wanaowaacha watoto wao wana roho ngumu mnoo
Salam zimefika, nimepewa last warning inabidi kumsikilizaNakuona unavyokongoroka kwa kukosa uhondo msalimie handsome wetu G
HahahahaUsiniambie ulitaka kuvishwa maderaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi tuwazoee tuHawa washamba wa mikoani wanazingua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnanikumbusha utotoni tukienda kumtembelea bibi sisi wa Dar ndio tulikuwa ma star, wa mikoa mingine wanasubiri...naona wa mikoani mnaendeleza bifu
hahaha, cha ajabu nikitimba town hamuonekani
Usijali kabisaaa kaka jamani... Ila ukimaliza ubusy we niambie nijenisamehe tu dada yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeonaaaaa eee mtu alikwambia anakaa apartment kama ya Lemutuz kumbe kagodoro kamesombwa na mafurikoo thubutu
KAMA JIWE ANAPENDA SIFA SEMBUSE BINADAMU KAMA DEMISS THUBUTU
Kwendreni uko miwivu tuHatuwaachi tunataka tuwarekebishe kidogo, ooh dar dar dar kwani dar imekuwa mbinguni mpunguze kujishaua mfyuuuuu [emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We cheka tuu...
Wanakariri nyimbo hao utadhani wako na mpango wa kutoa remix...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naonekana chizi ujueKhaaaa
Nahisi ntashuka njiani aki
Zamu ya nan leooo [emoji4][emoji2][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445]Wanaziimba ka wamemeza CD, na kile kiswahili chao sasa