Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Jiandae kwa kukwepa mapovu kutoka kwao

Maana umerusha jiwe gizani hapo
 
Kuna habari ya wanaume wa mwanza kuingiliana imerushwa azam news leo; hiyo habari wakiipata wanaume wa Dar hapatakalika humu leo
 
Mkuu labda huko kwenu lakini sisi tukienda moshi huwa hatutamani kurudi dasilamu sema basi tu majukumu ya kimaisha,,ila sijawahi kumuona mtu anaenda moshi anaboreka aisee
Hahahaa mimi kila w/end nipo moshi kulamba watoto wa Kimachame white uso soft usio chunusi natural color chotara mng'avu nga'vu maji ya kunde wameenda hewani sekunde kwao shanty town.
 
La moyoni hili nyie wanaume wa dar msiwe hivi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…