Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Tunaenda kurenew,,,biashara zikiwa ngumu huwa tunaenda kuzifungua[emoji23] [emoji23]Mkahasabiwe?[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaenda kurenew,,,biashara zikiwa ngumu huwa tunaenda kuzifungua[emoji23] [emoji23]Mkahasabiwe?[emoji23]
Mmmhh iyo avata mweeeeeh daaahhWanaume wa dar wakija mkoani wanaijishaua sasa subiri uende Dar mpaka unarud mkoani huwez kuonana naye
Hongereni sanaTunaenda kurenew,,,biashara zikiwa ngumu huwa tunaenda kuzifungua[emoji23] [emoji23]
Shem mbona umeweka avatar ya jolie jmn??Wanaume wa dar wakija mkoani wanaijishaua sasa subiri uende Dar mpaka unarud mkoani huwez kuonana naye
Jiandae kwa kukwepa mapovu kutoka kwaoYap na ufikeeee tu na siku hizi nasikia Dar wanakodisha magari kwa sikuuu elf 20,
Anakodi anakufata nalo mpaka ubungo unasema bwana si ndo huyu anakupeleka kwenye zile nyumba za Mbweni wanazoachiwaga na matajir kusimamia zisichafuke unasemaaa eeeh mm ndo mother house wa mjengo looooooh wanaume wa dar mna dhambiii
Haahhaha jilani nilikuja mpaka Dar ila ukaishia kunipiga porojoooMmmhh iyo avata mweeeeeh daaahh
Hahahahahah heheheeiyaaa unanitafuta ulishaambiwa mm na yeye mapachaShem mbona umeweka avatar ya jolie jmn??
Jilan ww si wakunitenga kias icho haya maisha tuuuuHaahhaha jilani nilikuja mpaka Dar ila ukaishia kunipiga porojooo
Jolie jolie upo wap mama la mamaHahahahahah heheheeiyaaa unanitafuta ulishaambiwa mm na yeye mapacha
Nawasubir wajeee hapa niwape ukweli waooo alafu bila kusahau dada zao nao nina povu laoJiandae kwa kukwepa mapovu kutoka kwao
Maana umerusha jiwe gizani hapo
Hahahaa mimi kila w/end nipo moshi kulamba watoto wa Kimachame white uso soft usio chunusi natural color chotara mng'avu nga'vu maji ya kunde wameenda hewani sekunde kwao shanty town.Mkuu labda huko kwenu lakini sisi tukienda moshi huwa hatutamani kurudi dasilamu sema basi tu majukumu ya kimaisha,,ila sijawahi kumuona mtu anaenda moshi anaboreka aisee
Dada zao nao wamefanya kipi cha ajabu?Nawasubir wajeee hapa niwape ukweli waooo alafu bila kusahau dada zao nao nina povu lao
Sema kweliHakuna haja ya kutoa taarifa, mie naendaga huko na sisemi kabisaaa!!! Mpaka narudi ndo nasema ila utasikia mbona hukusema jamanii....
Moyoni nacheeeeeekaaa!!!
La moyoni hili nyie wanaume wa dar msiwe hiviHawaniogopi wanakaa tandika na tandale chumba kinatisha akija mkoani full masifa nakaa Masaki mfyuuuu
Ukienda Dar anakupiga porojo eti mkutane Platnum Mapinga au kibo complex Tegeta kujifanya yuko vizur kumbe anakaa Mwananyamala komakoma ndani ndani.
Wanaume wengi wa Dar ni Mayahaya
Naanzajee kwa mfanoJilan ww si wakunitenga kias icho haya maisha tuuuu
Kweli vileeeSema kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yap na ufikeeee tu na siku hizi nasikia Dar wanakodisha magari kwa sikuuu elf 20,
Anakodi anakufata nalo mpaka ubungo unasema bwana si ndo huyu anakupeleka kwenye zile nyumba za Mbweni wanazoachiwaga na matajir kusimamia zisichafuke unasemaaa eeeh mm ndo mother house wa mjengo looooooh wanaume wa dar mna dhambiii
Hazard please tuambie jilan yake Ambiele wapiJolie jolie upo wap mama la mama
Kwahiyo hata mm huwa unanifanyia hivyo eenhKweli vileee