Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aiseee hii kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aiseee hii kali
ohhhhNdio maisha
Wewe si unajiweza uko vizuri economicallymi mbona nawapokea
Mmhh! Wewe naye wa mkoani??? Mbona pm siku ile uliniambia unaishi mikocheni??Ni mara ngapi unanikimbia wewe shunie embu usinitoneshe kidonda, ulinivurugia bajeti yangu ya usafiri kabisa. Nyie watu wa dar sio watu wazuri kabisa [emoji57]
ngoja waje wahaya wadhibitishe....hahahNakaziaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfyuuuu zako mm ninavyopenda wageni ukuje ukoNi mara ngapi unanikimbia wewe shunie embu usinitoneshe kidonda, ulinivurugia bajeti yangu ya usafiri kabisa. Nyie watu wa dar sio watu wazuri kabisa [emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukienda kwao eheheeheheh balaaaaaaaa wote wanakaaa Sinza na Masaki hawajawahi kusema nakaa Tandale au kwenye pagale la Boss wangu nimeziba chumba kimoja
Khaaaa wewe kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa dar wakija mkoani wanaijishaua sasa subiri uende Dar mpaka unarud mkoani huwez kuonana naye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmhh! Wewe naye wa mkoani??? Mbona pm siku ile uliniambia unaishi mikocheni??
Acha kabisa mmoja alisema amenunua gari akajua mm mshamba ile nimesimama Kituo cha Msikitini kama unatoka mbagala kwenda kwa Azizi aly ghafla Vix hili hapa la mkonge kucheki nyuma lina namba za STL nikasema moyoni weeeee shuziii kweli akasema gari yangu hhii nimetoka ofisini mara moja anajua mm wa mkoani mshamba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demiss hurumia mbavu zangu
Usiiwaigee...Kuna wadada wapo huko kipindi bado mdogo wakaja na mazawad masimu makubwa surual wamesuka manywele marefu wakasema wanafanya kazi Posta Red onion hotel
Sasa mwaka jana nikatimba huko nikaenda bar moja inaitwa Fair way kama unaenda Bunju katikati ya Tegeta na Boko eeeh nikakuta ni wahudumu wa Bar
Cha ajabu watoto wao wamewaacha mkoani ikabid waniambie nitunze siri nikawaambia nataka nije mnapokaa lahaulaaaaaa
Chumba kimoja wanakaa watu 9 Ila siku wakirudi mkoani huwa tunakoma watoto weupeee Demiss miye mpaka nataman nipake Mkorogo wa Maimartha wa Jesse nifanane nao.
Na yale manywele wanayarusha kama wakorea nywele mpaka gutako zinafika hapo Demiss nimesuka twende kilioni.
Wadada wa dar mna dhambi kama kaka zenu
Hawa ndo wanatuharibu sisi wa mkoani
Nakaziaaaaa kabisaKwakweli hakuna namna tufurahi tu
Tuachie kaka zetu[emoji13]Yap na ufikeeee tu na siku hizi nasikia Dar wanakodisha magari kwa sikuuu elf 20,
Anakodi anakufata nalo mpaka ubungo unasema bwana si ndo huyu anakupeleka kwenye zile nyumba za Mbweni wanazoachiwaga na matajir kusimamia zisichafuke unasemaaa eeeh mm ndo mother house wa mjengo looooooh wanaume wa dar mna dhambiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfyuuuu zako mm ninavyopenda wangeni ukuje uko
Wiki ijayo naja, ole wako transfoma ilipukeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfyuuuuu unitaje nimekosea nini mie jamani kwani nishawahi kukukimbia
Haata mm sina shida ya mtongozo Mshana ananitoshaaaaSitaki kuamini wewe nae wa mkoani..! Sasa mbona mshana Jr anaishi kibamba sisiem???
Angalizo huwa sitongozi madem wa mikoani.
Nakuja jamani msitufanyie hivyo ukifika kibaha tu mm nimeshafika ubungo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani dar wanawake kwa wanaume ni matapeli.
Safari hii nikija uje kunipokea ubungo
kumbeeee[emoji16]Wewe si unajiweza uko vizuri economically
Ndiwooo mkuuHivi nawe ni wa mkoani??