Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Ukienda kwao eheheeheheh balaaaaaaaa wote wanakaaa Sinza na Masaki hawajawahi kusema nakaa Tandale au kwenye pagale la Boss wangu nimeziba chumba kimoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena waache hizo tabia, na wakija mikoani wanavyojua kutudanganya sijui kwanini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demiss hurumia mbavu zangu
Acha kabisa mmoja alisema amenunua gari akajua mm mshamba ile nimesimama Kituo cha Msikitini kama unatoka mbagala kwenda kwa Azizi aly ghafla Vix hili hapa la mkonge kucheki nyuma lina namba za STL nikasema moyoni weeeee shuziii kweli akasema gari yangu hhii nimetoka ofisini mara moja anajua mm wa mkoani mshamba.


Tukaenda mpaka Girrafe hotel kama Afrikana kunywa mbili tatu kama baada ya nusu saa simu ikaita akaenda kupokea akaja akaniachia hela ya nauli ya tax akasema anarudi ofisin kuna kazi ghafla

MOYONI NIKASEMA WEWE SHUZI NI DEREVA WA SERIKALINI USIONE NIMETOKAA MKOANI UKAZANI NITABABAIKA NA GARI KWENDRAAAH NA BLOCK JUUU

wanaume wa dar wana dhambi
 
Usiiwaigee...
Mie wananiaga kwa mbwembwe tukija tukuletee nini my dear!! Huwa nasema tuu chochote, wacha waje tena msimu ujao, holla ... Nshawazoea wala hawanisumbui kabisaaa
 
Tuachie kaka zetu[emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani dar wanawake kwa wanaume ni matapeli.

Safari hii nikija uje kunipokea ubungo
Nakuja jamani msitufanyie hivyo ukifika kibaha tu mm nimeshafika ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…