Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Watu wa mkoani mkija dar mnakua washamba sana mnatusumbua Mara tukapande Mwendo kasi, mara twende kuona Mafuriko ya Msimbazi,Mara fly overs basi tafrani tupuu!!

Halafu wasumbufu mnoo...bakini huko huko!!
Sema kweli dada
 
mkuu acha hizoooo bana tukaribishe
 
Watu wa mkoani mkija dar mnakua washamba sana mnatusumbua Mara tukapande Mwendo kasi, mara twende kuona Mafuriko ya Msimbazi,Mara fly overs basi tafrani tupuu!!

Halafu wasumbufu mnoo...bakini huko huko!!
Tunawasumbua kwa sababu mkija mkoani mnasema saivi tunapaaa angani na mwendo kasiiii

Unajua kabisa sisi washamba lazima tuone kumbeee wapi acheni uongo na siku maboss wakianza kujenga mapagale hayo sijui mtaishi wapi
 
Hawaniogopi wanakaa tandika na tandale chumba kinatisha akija mkoani full masifa nakaa Masaki mfyuuuu

Ukienda Dar anakupiga porojo eti mkutane Platnum Mapinga au kibo complex Tegeta kujifanya yuko vizur kumbe anakaa Mwananyamala komakoma ndani ndani.

Wanaume wengi wa Dar ni Mayahaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom