Sema kweli dadaWatu wa mkoani mkija dar mnakua washamba sana mnatusumbua Mara tukapande Mwendo kasi, mara twende kuona Mafuriko ya Msimbazi,Mara fly overs basi tafrani tupuu!!
Halafu wasumbufu mnoo...bakini huko huko!!
mkuu acha hizoooo bana tukaribisheWatu wa mkoani mkija dar mnakua washamba sana mnatusumbua Mara tukapande Mwendo kasi, mara twende kuona Mafuriko ya Msimbazi,Mara fly overs basi tafrani tupuu!!
Halafu wasumbufu mnoo...bakini huko huko!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie huyooo?!
Labda ulichat na bae wanguu
Tunawasumbua kwa sababu mkija mkoani mnasema saivi tunapaaa angani na mwendo kasiiiiWatu wa mkoani mkija dar mnakua washamba sana mnatusumbua Mara tukapande Mwendo kasi, mara twende kuona Mafuriko ya Msimbazi,Mara fly overs basi tafrani tupuu!!
Halafu wasumbufu mnoo...bakini huko huko!!
We furahi tuu, sijui nitageukia wapi nkifika ubungo halafu simu ya Shunie izime charge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ntaamia nikiwa nikiwa na fweza ya kutoshaWanaboa sana wakija mkoani masifa telewww mpaka huwa nataman mm demiss nihamie Dar
Shkamoo jamaniJF siku hizi imejaa watu wa mikoani tabu tupu. Faraja yao kutukana watu wa Dar!
Uwe unasema nakufundisha chocho mm Dar ipo kiganjaniMhhhhh utakuwa umechanganya I'd mpendwa, mie siwezi kudanganya nakaa dar maana ukiniuliza sehemu gani siwezi kukumbuka ntajikuta nimesema UBUNGO maana ndio ninapopajua
Aki vileee
tabia mbaya hiyo dadaHakuna haja ya kutoa taarifa, mie naendaga huko na sisemi kabisaaa!!! Mpaka narudi ndo nasema ila utasikia mbona hukusema jamanii....
Moyoni nacheeeeeekaaa!!!
nani katukana banaaaa[emoji16]JF siku hizi imejaa watu wa mikoani tabu tupu. Faraja yao kutukana watu wa Dar!
Waongo sana hao wasituvuruge akili, wanajifanya wajanja wakati hamna kitu ujanja wao ni kugombania siti kwenye daladala kwa hilo nawapongeza mengine hamna kitu.Mpaka huwa nataman kuhamia Dar mm Chamdeko
EwaaaaaWoyoooooooooooooooooo halafu kuna kitimoto pale unakunywa na malta yako niko nagonga mambo zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sanaWe furahi tuu, sijui nitageukia wapi nkifika ubungo halafu simu ya Shunie izime charge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Hawaniogopi wanakaa tandika na tandale chumba kinatisha akija mkoani full masifa nakaa Masaki mfyuuuu
Ukienda Dar anakupiga porojo eti mkutane Platnum Mapinga au kibo complex Tegeta kujifanya yuko vizur kumbe anakaa Mwananyamala komakoma ndani ndani.
Wanaume wengi wa Dar ni Mayahaya
hayaaaa [emoji16] [emoji16] [emoji16]Na hii ongeza kwenye orodha.....Binti mzuri afu unaishi Mkoani Aisee unatutesa wanaume wa dar
Kumbe wote hatuli safi sana tutaenda kula mbuzi basi hela ya malta ipo tu sio ya kukusanyaEwaaaaa
Anza kukusanya hela ya malta jamanii, mie sikulagi kitifire kabisaaa
Wanaboa eti watuvalishe madera kwenye harusi maajabu?Na nyimbo zao za kukariri sasa!!!
marahaba dada angu uko poaAbeeh kaka angu mzuri mzuri shikamoo