Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

JF siku hizi imejaa watu wa mikoani tabu tupu. Faraja yao kutukana watu wa Dar!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatuwatukani tunawaambia ukweli mpunguze sifa jamani watu wa dar khaah
 
Watakuja na gari za kuazima kwa siku elf 20 unasema maisha ndo hayaaaaa

Nyumba wanazoishi ni za maboss wao waliohamishiwa dodoma unasemaaa ebwaanaaeee watu wana maisha kumbe ushuziiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tell them [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…