Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Kuna ukweli mkuuVijijini wanaua watu wakidai ni wachawi , ukiwa na pesa kidgo tu freemason ,ukijenga nyumba nzuri unaonewa wivu , wanabaka ovyo , wanaua albino , wafuatiliana maisha , na mambo mengine ya kishamba sna.
Hapana siyo kweli kabisa mjini pia wapi wenye upendo na
utu halisi... Ni kwamba tu watu wa mjini ni wengi waliyo vijijini ni wacheche, hivyo watu wenye utu na upendo wapo wachache kiasi cha kuona hawapo kabisa..
Siyo kweli kabisa... Wapo watu wanao ishi maisha ualisia... Mimi mmoja wapo.. sema uchache wa hao watu una fanya kuona kuwa hawapo kabisa.Hawana Hila Wala chembe ya uigizaji,wao wanayaishi maisha katika uhalisia wake,mijini kumejaa maigizo ,utapeli ,na Kila uovu usio na kikomo.