Vijijini wanaua watu wakidai ni wachawi , ukiwa na pesa kidgo tu freemason ,ukijenga nyumba nzuri unaonewa wivu , wanabaka ovyo , wanaua albino , wafuatiliana maisha , na mambo mengine ya kishamba sna.

Hapana siyo kweli kabisa mjini pia wapi wenye upendo na utu halisi... Ni kwamba tu watu wa mjini ni wengi waliyo vijijini ni wacheche, hivyo watu wenye utu na upendo wapo wachache kiasi cha kuona hawapo kabisa..