"Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

taifa liko mashakani,yeye anazungumzia muungano..sawa!

huo muungano una faida gani kwa wafu.?

aseme tu ukweli yeye ndiye mnufaika wa huo mfumo na nia ya urais
 
Wanabodi,
Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimapata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku akiongea kwa heshima, taratibu, kwa utulivu na unyenyekevu, na anaongea vizuri mpaka raha, na kwa wale wenzangu na mimi wenye udhaifu na macho fulani, kiukweli Mwenyenzi Mungu amemjaalia macho mashaalah, huchoki kumsikiliza, utatamani aendelee tuu kuongea na kipindi kisiishe!.

Kwa hoja za muungano Mama Samia alizoshusha, ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

Anasema Zanzibar inafaidika sana na muungano, kisiasa, kiuchumi na kijamii, ikiwemo kufaidika kielimu, wakati wa muungano, Zanzibar haikuwa na chuo kikuu chake hivyo Wanzanzibari wote wa enzi hizo waliofika elimu ya vyuo vikuu, wamesomea bara.

Paskali
Wewe mpuzi sana wewe uwachagulie wazanzibar Rais wao wewe kama nani??'Watanganyika mbona ZANZIBAR inawakosesha sana usingizi hivyo kusema mama samia hivyo ndio kuonesha Muungano hauna matatizo??
Msukuma ya ZANZIBAR waachie Wazanzbar
Muungano kuwa unamkorogeko sio siri
TUME YA KISANGA
TUME YA NYALALI
TUME YA WARIOBA
Zote hizo zilichukua maoni ya wananchi na wakaelekeza hatua za kufuatwa hujawahi ppngeze
Muungano utabakia kizungumkuti kama wazanzibar hawatopew nafas ya kuongelea Muungano wautakao

Jeshi la Tanganyika ndio linalozuia uzi wa Muungano najua unawakilisha watanganyik wanao wachukuliza wazanziba sawa na Ngombe wa wamasai munawapelela kule mutakapow kama ngombe wa wamasai hawaulizwi asubhi wataenda kula maji wapi warudi saa ngapi amri yote iko kwa Mmasai hivyo hvyo ndivyo walivyo wazanzibar kwenu nyinyi
Hata South Africa kulikua na Watu weusi wakiunga mkpno utawala wa makaburu

Suluhisho pekee la Muungano ni Watanzania na khasa wazanzibar waulizwe tena kwa uhuru na uwaz aina ya Muungano wautakao

Hoja ZANZIBAR inafaidika ZANZIBAR ktk Muungano hpja ya Kipuuzi sana
Pascal huwezi ukatusemea ss pia tunavinywa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimapata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku akiongea kwa heshima, taratibu, kwa utulivu na unyenyekevu, na anaongea vizuri mpaka raha, na kwa wale wenzangu na mimi wenye udhaifu na macho fulani, kiukweli Mwenyenzi Mungu amemjaalia macho mashaalah, huchoki kumsikiliza, utatamani aendelee tuu kuongea na kipindi kisiishe!.

Kwa hoja za muungano Mama Samia alizoshusha, ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

Anasema Zanzibar inafaidika sana na muungano, kisiasa, kiuchumi na kijamii, ikiwemo kufaidika kielimu, wakati wa muungano, Zanzibar haikuwa na chuo kikuu chake hivyo Wanzanzibari wote wa enzi hizo waliofika elimu ya vyuo vikuu, wamesomea bara.

Paskali
SAMIA kajazwa "roho mtakatifu" na anampenda YEsu!
Huyu mama hata kama ni mama yako, the way anaongea aisee, so sweeet and humble, eeh Mungu mpe mama huyu miaka aone wenzake ma dikteta wakiangamia.
 
Wanabodi,

Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimapata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku akiongea kwa heshima, taratibu, kwa utulivu na unyenyekevu, na anaongea vizuri mpaka raha, na kwa wale wenzangu na mimi wenye udhaifu na macho fulani, kiukweli Mwenyenzi Mungu amemjaalia macho mashaalah, huchoki kumsikiliza, utatamani aendelee tuu kuongea na kipindi kisiishe!.

Kwa hoja za muungano Mama Samia alizoshusha, ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

Anasema Zanzibar inafaidika sana na muungano, kisiasa, kiuchumi na kijamii, ikiwemo kufaidika kielimu, wakati wa muungano, Zanzibar haikuwa na chuo kikuu chake hivyo Wanzanzibari wote wa enzi hizo waliofika elimu ya vyuo vikuu, wamesomea bara.

Paskali
Lockdown ya nini toka nje tuchape kazi na kujenga taifa letu. Ila bora ameongea yeye kuna wengine wakiongea wanaweza kuuvunja muungano siku hiyo hiyo. Kwa nini wazanzibari wengi ndio wanalalamikia "kero za muungano" halafu wazanzibara ndio huisemea Zanzibar kuwa inafaidika ?
 
Sijajua kwanini anasema zanzibar inafaidika kiuchumi, kisiasa, kijamii halafu anatoa mfano wa zanzibar haikuwa na chuo kikuu ila walisoma bara. Kusoma bara haiwezi kuwa ni faida kwa sababu mikoa ya zanzibar ilichukuliwa katika ujumla wa mikoa ya Tanzania bara. Hivyo, haikuwa ni kitu cha ajabu!

Cha ajabu ni kuelezea “kufaidika” kama sio “unyonyaji”. Ajikite kueleza jinsi Zanzibar inavoitegemea na kuinyonya Bara katika mambo mengi.
 
Wanabodi,

Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimapata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku akiongea kwa heshima, taratibu, kwa utulivu na unyenyekevu, na anaongea vizuri mpaka raha, na kwa wale wenzangu na mimi wenye udhaifu na macho fulani, kiukweli Mwenyenzi Mungu amemjaalia macho mashaalah, huchoki kumsikiliza, utatamani aendelee tuu kuongea na kipindi kisiishe!.

Kwa hoja za muungano Mama Samia alizoshusha, ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

Anasema Zanzibar inafaidika sana na muungano, kisiasa, kiuchumi na kijamii, ikiwemo kufaidika kielimu, wakati wa muungano, Zanzibar haikuwa na chuo kikuu chake hivyo Wanzanzibari wote wa enzi hizo waliofika elimu ya vyuo vikuu, wamesomea bara.

Paskali
Unaweza mdomoni ukazungumza chengine, na Moyoni ukwaza chengine. Kwa maneno mazuri huo hitwa unafiki. Kama kweli wananchi wako huru kuujadili Muungano hukaa nikajiuliza, hawa Masheikh wa Uamsho wako ndani mwaka wa nane hivi husa lao ni lipi?
 
Wanabodi,

Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimapata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku akiongea kwa heshima, taratibu, kwa utulivu na unyenyekevu, na anaongea vizuri mpaka raha, na kwa wale wenzangu na mimi wenye udhaifu na macho fulani, kiukweli Mwenyenzi Mungu amemjaalia macho mashaalah, huchoki kumsikiliza, utatamani aendelee tuu kuongea na kipindi kisiishe!.

Kwa hoja za muungano Mama Samia alizoshusha, ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

Anasema Zanzibar inafaidika sana na muungano, kisiasa, kiuchumi na kijamii, ikiwemo kufaidika kielimu, wakati wa muungano, Zanzibar haikuwa na chuo kikuu chake hivyo Wanzanzibari wote wa enzi hizo waliofika elimu ya vyuo vikuu, wamesomea bara.

Paskali
Wanawake wengi wa kiislam haswa wa Visiwani wanajua sana kuongea kwa staha, nimesoma nao kadhaa pale UDSM enzi hizo wako vizuri sana
 
Wanabodi,

Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimapata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku akiongea kwa heshima, taratibu, kwa utulivu na unyenyekevu, na anaongea vizuri mpaka raha, na kwa wale wenzangu na mimi wenye udhaifu na macho fulani, kiukweli Mwenyenzi Mungu amemjaalia macho mashaalah, huchoki kumsikiliza, utatamani aendelee tuu kuongea na kipindi kisiishe!.

Kwa hoja za muungano Mama Samia alizoshusha, ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

Anasema Zanzibar inafaidika sana na muungano, kisiasa, kiuchumi na kijamii, ikiwemo kufaidika kielimu, wakati wa muungano, Zanzibar haikuwa na chuo kikuu chake hivyo Wanzanzibari wote wa enzi hizo waliofika elimu ya vyuo vikuu, wamesomea bara.

Paskali
Hakuna kiongozi aliyewahi fanikiwa kwa kuongea vizuri na unyenyekevu. Anayetaka kuwa hivyo, hana sababu ya kupewa instruments za utawala. Hiyo ni tabia ya kizembe ya kutafuta kupendwa na kila mtu wakati unaelewa nchi ni mchanganyiko wa wema, ufisadi, ubakaji, ulawiti, nk. Upole!!
 
Viongozi wengi wa Tanzania huwa wanazungumza vizuri tu kwa hiyo sijaona maana ya wewe kusema mama yetu Samia anazungumza vizuri labda kama ulitaka kutwambia anazungumza vizuri kuliko hata b...…..wake
 
Wanabodi,

Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimapata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku akiongea kwa heshima, taratibu, kwa utulivu na unyenyekevu, na anaongea vizuri mpaka raha, na kwa wale wenzangu na mimi wenye udhaifu na macho fulani, kiukweli Mwenyenzi Mungu amemjaalia macho mashaalah, huchoki kumsikiliza, utatamani aendelee tuu kuongea na kipindi kisiishe!.

Kwa hoja za muungano Mama Samia alizoshusha, ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

Anasema Zanzibar inafaidika sana na muungano, kisiasa, kiuchumi na kijamii, ikiwemo kufaidika kielimu, wakati wa muungano, Zanzibar haikuwa na chuo kikuu chake hivyo Wanzanzibari wote wa enzi hizo waliofika elimu ya vyuo vikuu, wamesomea bara.

Paskali
Unataka kutuaminisha kuwa uchaguzi wa rais mwaka huu umeshafanyika na mshindi kujulikana?
 
Kuhusu Zanzibar kunufaika na Muungano hilo linafahika na lipo wazi. Ndio maana hata wazanzibar wengi wamehamia bara na kuja kufuata fursa za biashara. Huyo Mwandishi angemuuliza makamu wa rais je Revolution council ya Zanzibar kipindi hicho iliratify articles of union? Maana kuna upotoshaji mkubwa sana juu ya hili suala. Na sababu ofisi yake inahusika na Muungano nafikiri majibu anayo.
 
Hii ndio inaitwa Flight of Ideas.

1.Heading inazungumzia mambo ya muungano...

2.Paragraph ya kwanza uzuri na sauti ya mama samia....

3.Paragraph ya pili urais wa zanzibar.....

4.Paragraph ya mwisho urais wa jmt....

Which is which?
Unforgetable
Hiyo No 3 hapo , Mbona alishatowa kauli siku nyingi kuwa ,hatogombea Uraisi Zanzibar.
Labda Ampokee Magu kule bara 2020.
 
Kuhusu Zanzibar kunufaika na Muungano hilo linafahika na lipo wazi. Ndio maana hata wazanzibar wengi wamehamia bara na kuja kufuata fursa za biashara. Huyo Mwandishi angemuuliza makamu wa rais je Revolution council ya Zanzibar kipindi hicho iliratify articles of union? Maana kuna upotoshaji mkubwa sana juu ya hili suala. Na sababu ofisi yake inahusika na Muungano nafikiri majibu anayo.
Nakuendeni sana mnavyotuonea huruma kuliko sisi wenyewe acheni vihoja vya ovyoo baya na zuri wenyewe twalijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom