Watu wafupi bwana!

Watu wafupi bwana!

Hilo Neno tunakukaribisha ulilete ktk JUKWAA LETU LIITWALO
KAMA UNASTRESS ONDOA HAPA
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kuna wakati mtu mfupi anakwambia nywele zako zinanukia harufu nzuri.

*unashindwa kuelewa*

*anazungumzia nywele*

*Zipi hasa*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ahahaaahhaaaa.Mavumbi.
 
Back
Top Bottom