Watu wafupi na inferior complex

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Wanajishtukia sana lakini kimsingi ni watu ambao tunawaheshimu na kuwapenda. Ufupi sio ulemavu ni maumbile kama ilivyo urefu, unene au wembamba.

Ufupi usikufanye ujisikie vibaya na kukufanya utumie nguvu kubwa kusaka attention inabidi ujivunie maana hata sisi warefu tunapenda wanawake wafupi yaani sweet and short.

Be proud
 
Ufupi usikufanye ujisikie vibaya na kukufanya utumie nguvu kubwa kusaka attention inabidi ujivunie maana hata sisi warefu tunapenda wanawake wafupi yaani sweet and short.[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu tumekusikia na tutafanyia kazi maoni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…