Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wafupi hatukujiumba wenyewe, tumejikuta tushakuwa hivyo! Hata kwenye kujiamini ni hivyo hivyo, tunahisi kudhaurika muda wote[emoji3][emoji3][emoji3]tuwache tu, kuna mabinti wanatuoneaga huruma wanatupenda hivyo hivyo. Bahati nyingine ni kwamba Mwenyezi Mungu amejalia watu wafupi wengi vipato kuliko warefu[emoji1787][emoji1787]Wanajishtukia sana lakini kimsingi ni watu ambao tunawaheshimu na kuwapenda. Ufupi sio ulemavu ni maumbile kama ilivyo urefu, unene au wembamba.
Ufupi usikufanye ujisikie vibaya na kukufanya utumie nguvu kubwa kusaka attention inabidi ujivunie maana hata sisi warefu tunapenda wanawake wafupi yaani sweet and short.
Be proud