Watu wafupi na inferior complex

Ufupi ni kimo cha sentimeta ngapi na urefu ni kipimo cha sentimeta ngapi?

By the way it's inferiority complex and not inferior complex
 
Sisi wafupi hatukujiumba wenyewe, tumejikuta tushakuwa hivyo! Hata kwenye kujiamini ni hivyo hivyo, tunahisi kudhaurika muda wote[emoji3][emoji3][emoji3]tuwache tu, kuna mabinti wanatuoneaga huruma wanatupenda hivyo hivyo. Bahati nyingine ni kwamba Mwenyezi Mungu amejalia watu wafupi wengi vipato kuliko warefu[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…