Watu wafupi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hi

Ukitaka kujua watu wafupi wana hasira tegea siku anasoma tangazo la kazi halafu anasifa zote za hiyo kazi iliyo tangazwa lakini mwisho wa lile tangazo wakasema lazima awe mrefu.

Utaona atakavyo react hapa kuna rafiki yangu kashaaza kusoma thread za motivation [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la watu wafupi ni mifumo kuwa karibu, unakuta mfumo wa akili upo karibu na mfumo wa chakula na w chakula karibu na wa taka. Ndio shida hii
 
Tatizo la watu wafupi ni mifumo kuwa karibu, unakuta mfumo wa akili upo karibu na mfumo wa chakula na w chakula karibu na wa taka. Ndio shida hii

[emoji23][emoji23] ngoja [mention]Intelligent businessman [/mention] akusikiea atakuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…