Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hi
Ukitaka kujua watu wafupi wana hasira tegea siku anasoma tangazo la kazi halafu anasifa zote za hiyo kazi iliyo tangazwa lakini mwisho wa lile tangazo wakasema lazima awe mrefu.
Utaona atakavyo react hapa kuna rafiki yangu kashaaza kusoma thread za motivation [emoji23][emoji23][emoji23]