GUYS, I MAY BE A BIT OLDER BUT I HAVE TO ADMIT THAT ZARI IS A VERY BEAUTIFUL LADY WITH EXCELLENT COMPOSURE , STRIKING PERSONALITIY AND VERY INTELLIGENT.Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.
Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi
Na baada ya Kutoka hapo waliongozana na Mzazi mwenzie Diamondplutnamz, kuelekea Visiwani Zanzibar kwenye show yake usiku wa Leo.
View attachment 609379
View attachment 609380
View attachment 609381
Sanaa kasura kamekomaaa mnoooo alafu njaaa nyingi...haamini kama kazaa na diamondYule mobeto mifupa ya jicho ile ya juu ya nyusi imekomaa mno,na utoto wake
Nchi ikiongozwa na wabush hata wananchi wake watakuwa hivyo wabushTena wengine wana muda wa kudeki barabara.
Huyu ndio First Lady wa bongoYup!
Mdada ni mzuri haswa!
Kuna wengine hata kupata mimba hawajawahi, umri wako sawa na Zari au ni wadogo kidogo, lakini machoni hawatamaniki.
Mtu ana miaka 30 na kitu lakini utadhani ni mbibi wa miaka 60!
Mzuri ni yule asiyetumia make upsGUYS, I MAY BE A BIT OLDER BUT I HAVE TO ADMIT THAT ZARI IS A VERY BEAUTIFUL LADY WITH EXCELLENT COMPOSURE , STRIKING PERSONALITIY AND VERY INTELLIGENT.
MAY BE YOU GUYS/LADIES CAN HELP ME IN COMPARING HER WITH ANY OF OUR SO CALLED BEATIFUL DAMSELS
Ndiyo maana mbwembwe nyingi,kutoka kuogea sabuni ya mkaa mpaka kufikia "GIV"kwake ni hatua kubwa,sijazungumzia kukatika katika video kwa malipo ya shuka la mmasai.Sanaa kasura kamekomaaa mnoooo alafu njaaa nyingi...haamini kama kazaa na diamond
I don't know about all that.Huyu ndio First Lady wa bongo
Ha ha ha, wivu utakuua wewe limbukeni. Akili kama za Mange.Nchi ikiongozwa na wabush hata wananchi wake watakuwa hivyo wabush
Ova
Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.
Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi
Na baada ya Kutoka hapo waliongozana na Mzazi mwenzie Diamondplutnamz, kuelekea Visiwani Zanzibar kwenye show yake usiku wa Leo.
View attachment 609379
View attachment 609380
View attachment 609381
Daaaaahhhh Mkuuu acha kabisaaaa ,yaaaaan mbwembwe zimezidi aiseeeee hakijiaminiiiii kabisaaaaaa sasa mtizame mwenzake ZALI ,, hana presha ..mtoto katuliaNdiyo maana mbwembwe nyingi,kutoka kuogea sabuni ya mkaa mpaka kufikia "GIV"kwake ni hatua kubwa,sijazungumzia kukatika katika video kwa malipo ya shuka la mmasai.