Watu Wafurika kumuangalia Zari Mlimani City.

Watu Wafurika kumuangalia Zari Mlimani City.

Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.

Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi

Na baada ya Kutoka hapo waliongozana na Mzazi mwenzie Diamondplutnamz, kuelekea Visiwani Zanzibar kwenye show yake usiku wa Leo.

View attachment 609379

View attachment 609380

View attachment 609381
GUYS, I MAY BE A BIT OLDER BUT I HAVE TO ADMIT THAT ZARI IS A VERY BEAUTIFUL LADY WITH EXCELLENT COMPOSURE , STRIKING PERSONALITIY AND VERY INTELLIGENT.
MAY BE YOU GUYS/LADIES CAN HELP ME IN COMPARING HER WITH ANY OF OUR SO CALLED BEATIFUL DAMSELS
 
Yup!

Mdada ni mzuri haswa!

Kuna wengine hata kupata mimba hawajawahi, umri wako sawa na Zari au ni wadogo kidogo, lakini machoni hawatamaniki.

Mtu ana miaka 30 na kitu lakini utadhani ni mbibi wa miaka 60!
Huyu ndio First Lady wa bongo
 
GUYS, I MAY BE A BIT OLDER BUT I HAVE TO ADMIT THAT ZARI IS A VERY BEAUTIFUL LADY WITH EXCELLENT COMPOSURE , STRIKING PERSONALITIY AND VERY INTELLIGENT.
MAY BE YOU GUYS/LADIES CAN HELP ME IN COMPARING HER WITH ANY OF OUR SO CALLED BEATIFUL DAMSELS
Mzuri ni yule asiyetumia make ups
Asubuhi akimka hapo ndipo tutataka kumuona zari alivyooo

Ova
 
Wakati mwingine Mwenyezi Mungu akishakuwekea YES ni vigumu kwa mwanadamu mwingine kuifuta na kuandika NO.

Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.

Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi

Na baada ya Kutoka hapo waliongozana na Mzazi mwenzie Diamondplutnamz, kuelekea Visiwani Zanzibar kwenye show yake usiku wa Leo.

View attachment 609379

View attachment 609380

View attachment 609381
 
Ndiyo maana mbwembwe nyingi,kutoka kuogea sabuni ya mkaa mpaka kufikia "GIV"kwake ni hatua kubwa,sijazungumzia kukatika katika video kwa malipo ya shuka la mmasai.
Daaaaahhhh Mkuuu acha kabisaaaa ,yaaaaan mbwembwe zimezidi aiseeeee hakijiaminiiiii kabisaaaaaa sasa mtizame mwenzake ZALI ,, hana presha ..mtoto katulia
 
Ila wabongo shikamo kwa shobo juzi nilikua Uganda on indepence day. Hakuna mganda alimshobokea Mondi njo sasa huku. Mpaka sometimes naona aibu kusema mi Mtanzania
 
Back
Top Bottom