Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho hiyo mkuu...usijaliRudisha ile avatar yako
I CONCUR BIG MAN. HER PERSONALITY SAYS IT ALL!GUYS, I MAY BE A BIT OLDER BUT I HAVE TO ADMIT THAT ZARI IS A VERY BEAUTIFUL LADY WITH EXCELLENT COMPOSURE , STRIKING PERSONALITIY AND VERY INTELLIGENT.
MAY BE YOU GUYS/LADIES CAN HELP ME IN COMPARING HER WITH ANY OF OUR SO CALLED BEATIFUL DAMSELS
Vigori wa bongo wanashangaa kuwa pamoja na pesa zote, watoto wa kutosha, uzuri wote. But mondi kamsaliti bila kuvaa mpira. Ningekuwa mwanamke kwa watoto hao nilionao, uzuri, pesa haha, mwanaume msaliti tupa kule.Vigori wa bongo mnaaachiaje huyu ajuza anapiga bao machoni mwenu???!
Wanakula kwenye ncha kama panya watoboa gunia, sku zote walikua wapi. Ona Zari mwanamke wa Kiganda anatusua bingo za nguvu kwenye uzinduz wa Mall vidada kibao vya kibongo vinamshangaa. Wanaona kama maigizo nakat mwenzao anatengeneza hela. Akili za wabongo bwn unaweza dondoaha hata ding'a wakakusanyana kuja kuliangaliaVigori wa bongo wanashangaa kuwa pamoja na pesa zote, watoto wa kutosha, uzuri wote. But mondi kamsaliti bila kuvaa mpira. Ningekuwa mwanamke kwa watoto hao nilionao, uzuri, pesa haha, mwanaume msaliti tupa kule.
Ila wabongo shikamo kwa shobo juzi nilikua Uganda on indepence day. Hakuna mganda alimshobokea Mondi njo sasa huku. Mpaka sometimes naona aibu kusema mi Mtanzania
Wee acha tu dada mzuri sana yule halafu mdogo mdogo tofauti na INSTA!Yaaani hapa nataka kuattach video niko nae inanigomea ...aaaaaagh!
Afuu we JUJU ujue tulikuwa wote DanubeMmh leo unamsifia zari aisee
Afuu we JUJU ujue tulikuwa wote Danube
Kumbuka mdada aliyekuongezea sambusa kwenye sahani yako
Mpuuze tu, ni sampuli ile ile ya maderaYuko vizuri ila kuna mtu alipinga akasema Hao GSM kumchagua Zari wamekosea sana
HahahahaMwenzake yupo Zanzibar na bwana. mwenzio kapanda ndege kutoka sauzi. Yeye alikuwa hapa hapa. Kaachwa
Ilitakiwa yeye ndo azunguke na diamond.
[emoji23] [emoji23] [emoji125]Hahahaa mara hii nimekuwa juju
aisee hongeraWee acha tu dada mzuri sana yule halafu mdogo mdogo tofauti na INSTA!Yaaani hapa nataka kuattach video niko nae inanigomea ...aaaaaagh!
Nyie kwa rangi hizo atawaangalia nani? Lazima muone wivu.Bora umeliona hilo asee... hebu imagine hapo kuna mianaume nayo imo!!!
Namwomba Mungu binti zangu wasiolewe na mianaume ya namna hiyo....
Eti mwanaume anafunga shughuli zake kwenda kumwangalia Zari...
Dah!
Nilifungua safarikwa hiyo ulifunga safari
Hahaha ameshatuliaMpuuze tu, ni sampuli ile ile ya madera
marinda yakawa sawa baada kufunguaNilifungua safari