Watu Wafurika kumuangalia Zari Mlimani City.

TAZAMA Mwenyewe Zari The Boss Lady Ilivyokuwa Shangwe katika uzinduzi wa Mall | Dar Es Salaam
 
Vigori wa bongo mnaaachiaje huyu ajuza anapiga bao machoni mwenu???!
 
GUYS, I MAY BE A BIT OLDER BUT I HAVE TO ADMIT THAT ZARI IS A VERY BEAUTIFUL LADY WITH EXCELLENT COMPOSURE , STRIKING PERSONALITIY AND VERY INTELLIGENT.
MAY BE YOU GUYS/LADIES CAN HELP ME IN COMPARING HER WITH ANY OF OUR SO CALLED BEATIFUL DAMSELS
I CONCUR BIG MAN. HER PERSONALITY SAYS IT ALL!
 
Vyuma vimekaza ukute wamepewa kidogo kitu, kupata kiki ni kazi sana
 
Vigori wa bongo wanashangaa kuwa pamoja na pesa zote, watoto wa kutosha, uzuri wote. But mondi kamsaliti bila kuvaa mpira. Ningekuwa mwanamke kwa watoto hao nilionao, uzuri, pesa haha, mwanaume msaliti tupa kule.
Wanakula kwenye ncha kama panya watoboa gunia, sku zote walikua wapi. Ona Zari mwanamke wa Kiganda anatusua bingo za nguvu kwenye uzinduz wa Mall vidada kibao vya kibongo vinamshangaa. Wanaona kama maigizo nakat mwenzao anatengeneza hela. Akili za wabongo bwn unaweza dondoaha hata ding'a wakakusanyana kuja kuliangalia
 
Aibu ya nini Nahirat? Hatuna sababu za kuiga chuki za Waganda kwa Mondy. Pia kumbuka chuki hizo labda kwa kiasi kikubwa zinatokana na yaliyojiri hivi karibuni. Hivyo wakiona mganda mwenzao kamsemehe shemeji yao basi wanaweza kufuta chuki zao kama kweli wana chuki naye. Huna sababu ya kuona aibu kusema wewe ni mbongo kwa sababu tu Wabongo wanampenda Zari.

Binadamu wengine wana nyota ya kupendwa popote pale walipo. Zari hata akienda Europe au USA bado kutakuwa na wengi tu ambao watakaompenda.

Ila wabongo shikamo kwa shobo juzi nilikua Uganda on indepence day. Hakuna mganda alimshobokea Mondi njo sasa huku. Mpaka sometimes naona aibu kusema mi Mtanzania
 
Bora umeliona hilo asee... hebu imagine hapo kuna mianaume nayo imo!!!

Namwomba Mungu binti zangu wasiolewe na mianaume ya namna hiyo....

Eti mwanaume anafunga shughuli zake kwenda kumwangalia Zari...

Dah!
Nyie kwa rangi hizo atawaangalia nani? Lazima muone wivu.
Kumuangalia unasema unapiteza muda kumbe daily unakesha nae instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…