Watu Wafurika kumuangalia Zari Mlimani City.

Tutafute hela wandugu. Mambo ya kudai sijui Hendsamu hayapogo! Dogo anakula ngozi nyeupeee. Sisi tunakukuluka na Mabaa medi ya Mango Garden. Jitu limejichubua mpaka kucha
 
Ila wabongo shikamo kwa shobo juzi nilikua Uganda on indepence day. Hakuna mganda alimshobokea Mondi njo sasa huku. Mpaka sometimes naona aibu kusema mi Mtanzania
mlikuwa mnatudanganya zamani.Youtube na video tumeziona wewe ulikuwa Uganda au ukumbi gani mpaka hata kama hukusikia hata kuona ulishindwa.nyomi yote ile.WABONGO WAONGO!! KWAHIYO BUKOBA ULIPOENDA NI UGANDA
 
Nyie kwa rangi hizo atawaangalia nani? Lazima muone wivu.
Kumuangalia unasema unapiteza muda kumbe daily unakesha nae instagram
Bahati nzuri mwanaume huwa hasifiwi kwa rangi. Kama we ni mwanaume pole sana... ila unaweza kubadilika ukiamua.

Nione wivu mtu kuangaliwa? Mtu mwenyewe malaya??? Lazima kuna tatizo kwenye oblangata yako
 
Huyo kama siyo shoga atakuwa Mcongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…