Watu wakali, wasio na aibu na ving'ang'anizi mithili ya Haji Manara lazima wafanikiwe

Watu wakali, wasio na aibu na ving'ang'anizi mithili ya Haji Manara lazima wafanikiwe

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hello morning!!
Mimi ni miongoni mwa watu wenye tabia za upole na aibu.
Upole na aibu havina faida yoyote kwenye maisha ya mtu.
Nilikosa kazi mbili ambazo zilikuwa zinanisibiri Mimi. Ila kwa tabia ya upole nikashindwa kuzichukua zile kazi .
Watu kama Manara lazima wafanikiwe kwa level zao.
Matajiri wa vijijini, wilayani na mikoani wengi ni watu wenye tabia za ukali, utata na hawana aibu.
Maisha ni vita, ukiishi kama uko kwenye msiba hutoboi.
1722229760497.jpg
 
Nimelinganisha picha ya manara na avatar yako...nimekubali upo sahihi
 
Hilo liko wazi. Hiyo ndio tabia ya wazungu wengi. Hii ya kuona noma ni matoke ya jamaa
 
Hapo hatuna budi kurejea mawanda ya sayansi, saikolojia, sayansi-jamii, historia, dini na uchumi ili kufafanua maana na mantiki ya mafanikio.

Mafanikio ni kati ya maneno muhimu sana yanayoeleweka isivyo au kupotoshwa na wengi.
 
Misuse of brain's functionality(ies)

Ina mana elon musk ni aggressive? Kwanza aggressive hii kwenye nn na context gan?
 
Back
Top Bottom