Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hit the ground running ni msamiati wa kijeshi ambao watu wengine imeonekana kwamba wameshindwa kuelewa maana yake.
Ina maana mwanajeshi anaposhuka na parachuti,anapokaribia ardhini,upepo utakuwa unavuma,kwa hiyo akigusa ardhi hatakiwi kusimama,anatakiwa kufika tu chini na kuanza kukimbia.
Kwa hiyo hit the ground running maana yake kuanza kazi bila kuchelewa.
Sasa hapa kuna Uchaguzi ambao inaelekea unaweza kuleta kesi nyingi, hili ni jambo ambalo litakwamisha maendeleo,na viongozi wa Serikali za Mitaa watashindwa kufanya kazi.
Kwa sababu matatizo yaliyotokea katika Uchaguzi huu yalikuwa ni endogenic. Kwa hiyo sijui kwa nini mtu yeyote alalamike. Endogenic,maana yake,yale matatizo yapo katika mfumo wa uongozi. Matatizo hayo hayayoko nje, yanatoka ndani ya system.34.818 Aufrufe · 13.330 Reaktionen | Wimbo huu uliimbwa mwaka 2005 na mchungaji Abiud Misholi, sasa kwanini umekuwa maarufu muda huu😂😂 | Mambo Mambo