DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Watu wanamsikilizaga Mbowe ndo mtoaji wa dira ya Taifa..wewe bila shaka ulimsikiliza Mbowe peke yake.
..Msigwa na Heche walipopewa nafasi walizungumzia ugumu wa maisha na hali mbaya ya kiuchumi.
Watu wanamsikilizaga Mbowe ndo mtoaji wa dira ya Taifa
Sema mim na siyo watu.., maana unawasemea wengineWatu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio?
Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia chochote
Niwaambie hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yenu Muacheni Mzee wa watu Mbowe , Mnaweza mkaandamana Kama mnaona Rahisi.
Watu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio?

🤣🤣🤣kila mtu apambane na hali yake.Watu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio?
Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia chochote
Niwaambie hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yenu Muacheni Mzee wa watu Mbowe , Mnaweza mkaandamana Kama mnaona Rahisi.
Walisema ni Gaidi lakini leo walitaka awasemee mfumuko wa bei na TozoHakika imeandikwa na kila mmoja abebe mzigo wake.
Huwa mna kurupuka sana. Kwani hukumsikia Sugu akiongelea gharama za vyakula na diesel petroli?? Kama huna hoja sio lazima kuandikaWatu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio?
Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia chochote
Niwaambie hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yenu Muacheni Mzee wa watu Mbowe , Mnaweza mkaandamana Kama mnaona Rahisi.
Wataongea kesho lakini watakuwa na sababu na alternative?Watu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio?
Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia chochote
Niwaambie hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yenu Muacheni Mzee wa watu Mbowe , Mnaweza mkaandamana Kama mnaona Rahisi.
Ni rais???Watu wanamsikilizaga Mbowe ndo mtoaji wa dira ya Taifa
Nyota wa mchezo leo kwa upande wa CCM alikuwa Mbowe, hataki katakata kusikia mtu anamsema vibaya mama Samia badala yake kaungana na akina Makamba, Samia nk. kumsema vibaya Hayati MaguWatu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio?