Watu walidhani leo Chadema wataongelea kupanda kwa gharama za Maisha !?

Watu walidhani leo Chadema wataongelea kupanda kwa gharama za Maisha !?

Ukitaka kujua JF ni pro CHADEMA, angalia walivyoruhusu threads nyingi zinazozungumzia kitu kilekile, mkutano wa CHADEMA mwanza!
Ndio hali halisi. Chadema iko kila mahali. Umetembelea huko Youtube Leo? Kajionee mwenyewe utasema Channel zote ni Prochadema
 
Huu ulikuwa mkutano wa uzinduzi kitu cha kwanza ni lazima kumshukuru aliyeruhusu mikutano, na mikutano inayofuata ndo itazungumzia hayo mengine.
 
Nyota wa mchezo leo kwa upande wa CCM alikuwa Mbowe, hataki katakata kusikia mtu anamsema vibaya mama Samia badala yake kaungana na akina Makamba, Samia nk. kumsema vibaya Hayati Magu
Hata kama ingekua ni mm hivi mtu anakutengenezea kesi ya ugaidi anavinja biashara zako anakuweka ndani ananja shamba lako alafu unataka watu wasiseme kweli??
 
Kilichonifurahisha kailaumu sana awamu ya tano na kumuongeza dk Samia, sasa 2024-2025 anaenda kupambania na awam ya tano??
Hpo ndo utaona tunapofel wa tz
Watu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio?

Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia chochote


Niwaambie hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yenu Muacheni Mzee wa watu Mbowe , Mnaweza mkaandamana Kama mnaona Rahisi.
 
Back
Top Bottom