Ndio hali halisi. Chadema iko kila mahali. Umetembelea huko Youtube Leo? Kajionee mwenyewe utasema Channel zote ni ProchademaUkitaka kujua JF ni pro CHADEMA, angalia walivyoruhusu threads nyingi zinazozungumzia kitu kilekile, mkutano wa CHADEMA mwanza!
Acha uoga weweUkitaka kujua JF ni pro CHADEMA, angalia walivyoruhusu threads nyingi zinazozungumzia kitu kilekile, mkutano wa CHADEMA mwanza!
Walikuzuia kuandika threads za ccm?!Ukitaka kujua JF ni pro CHADEMA, angalia walivyoruhusu threads nyingi zinazozungumzia kitu kilekile, mkutano wa CHADEMA mwanza!
Hata kama ingekua ni mm hivi mtu anakutengenezea kesi ya ugaidi anavinja biashara zako anakuweka ndani ananja shamba lako alafu unataka watu wasiseme kweli??Nyota wa mchezo leo kwa upande wa CCM alikuwa Mbowe, hataki katakata kusikia mtu anamsema vibaya mama Samia badala yake kaungana na akina Makamba, Samia nk. kumsema vibaya Hayati Magu
Watu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio?
Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia chochote
Niwaambie hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yenu Muacheni Mzee wa watu Mbowe , Mnaweza mkaandamana Kama mnaona Rahisi.
kwani mikutano ni fadhila ya mtu kuruhusu au ipo kikatiba?Huu ulikuwa mkutano wa uzinduzi kitu cha kwanza ni lazima kumshukuru aliyeruhusu mikutano, na mikutano inayofuata ndo itazungumzia hayo mengine.