Watu waliofanya mitihani zamani wote wamenyimwa mikopo

flyn rider

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
456
Reaction score
78
nilichogundua applicant waliofanya mitihani zamani eg 2002,2004,2006,2003 bodi imewanyima mikopo maana kila anaetoa namba yake hapa inaonyesha amekosa,..poleni mungu atafungua milango mengine
 
sidhani kama upo sahihi,kwani nina jamaa zangu walimaliza 2004 wamepata na pia kuna waliomaliza 2008 wamekosa not secured,so hiyo dhana yako mhh hebu endelea na utafiti,
ila mi naona j3 tuibuke bodi tukajue zaidi mbivu na mbichi.
 
may be,ila nimeona wengi wamegaragazwa,bodi si mchezo,na hio jumatatu mwamba tujipange maana najua wameshajipanga na wao wanajua watatiliwa timu
 
nilichogundua applicant waliofanya mitihani zamani eg 2002,2004,2006,2003 bodi imewanyima mikopo maana kila anaetoa namba yake hapa inaonyesha amekosa,..poleni mungu atafungua milango mengine

Siyo kweli 100%! Kuna watu wengi wamefanya mitihani miaka mingi iliyopita na wamepata!
 
Daaah sasa sijui sisi wa mikoa ya mbali itakuaje!,nimeshakata tamaa
 
may be,ila nimeona wengi wamegaragazwa,bodi si mchezo,na hio jumatatu mwamba tujipange maana najua wameshajipanga na wao wanajua watatiliwa timu

Mi pia niliona waliotoka diploma wengi wametoswa ila sio wote coz nimeona wengine wamepata,ila kuna mtu kasema wanaweza toa tena ila sio habar za uhakika,
 
tumuombe mungu atasaidia inshallah
 
may be,ila nimeona wengi wamegaragazwa,bodi si mchezo,na hio jumatatu mwamba tujipange maana najua wameshajipanga na wao wanajua watatiliwa timu

Watakuwa wamekosa tu kwa sababu nyingine si kwa vile wamefanya mitihani miaka mingi. Nafikiri bodi wanafuata vigezo walivyojiwekea. Mimi wa equivalent nimebamba 3.8m pamoja na kuwa sec. nilimaliza 90's. Sasa iwe hao wa 2004?
 
Moja kati ya vitu vilivyoangaliwa ni hicho
 
je iyo not secure ni kwa wanafunzi wa mwak wa kwanz tu? je continues student majibu ni mtandaon au unayakuta chuon maana sielewi.msaada plz kwa anaefaham.
 
Watakuwa wamekosa tu kwa sababu nyingine si kwa vile wamefanya mitihani miaka mingi. Nafikiri bodi wanafuata vigezo walivyojiwekea. Mimi wa equivalent nimebamba 3.8m pamoja na kuwa sec. nilimaliza 90's. Sasa iwe hao wa 2004?

Nyie ndo mnaowabania vijana wasipate mkopo,ee si una mshahara lakini...ovyoo
 
Acha kupiga mayowe!! Kwani wewe baba yako hana mshahara? Mbona hujaukataa kwamba utajisomesha? Kwa mshahara upi mpaka niweze kujilipia 3.8m wewe? Tena ukome kabisaaa! Mkiambiwa mkasome course ambazo ni za vipaumbele mnakimbilia gender and community development? Unafikri bodi wenyewe hawakuliona hilo unalopigia mayowe?
 
may be,ila nimeona wengi wamegaragazwa,bodi si mchezo,na hio jumatatu mwamba tujipange maana najua wameshajipanga na wao wanajua watatiliwa timu

ahahahahaaa dawa yetu mabomu ya machozi tu. Wote tunakua wadngo
 
may be,ila nimeona wengi wamegaragazwa,bodi si mchezo,na hio jumatatu mwamba tujipange maana najua wameshajipanga na wao wanajua watatiliwa timu

Sasa hivi umenyoka kinyama,mimi na geology yng udom ulinidc sana bt nmelamba mkopo wa maana cna kilalulalu ka wewe.Ulkuwa unavunga mjanja ngja ukose 2 salama na uclas yako unajdai mtoto wa doss kumbe choka 2 now unataka kuzaa na HESLB kisa umenymwa mkopo wewe pimbi 2.
 
Back
Top Bottom