Watu waliofanya mitihani zamani wote wamenyimwa mikopo

Watu waliofanya mitihani zamani wote wamenyimwa mikopo

Kuna jamaa amefanya 2001 amepata

Kukosa kupata ni mipango ya Mungu tu.
Hapa wengi waliopata wanahonga watumishi wa bodi kuanzia laki mbili hadi kuendelea, rushwa tupu,wizi mtupu haki hakuna MWALIMU NYERERE ALISEMA, RUSHWA NI ADUI WA HAKI?
 
Back
Top Bottom