S SINGLE MAN Member Joined Jul 1, 2012 Posts 38 Reaction score 6 Oct 6, 2013 #61 Young Teacher said: Kuna jamaa amefanya 2001 amepata Kukosa kupata ni mipango ya Mungu tu. Click to expand... Hapa wengi waliopata wanahonga watumishi wa bodi kuanzia laki mbili hadi kuendelea, rushwa tupu,wizi mtupu haki hakuna MWALIMU NYERERE ALISEMA, RUSHWA NI ADUI WA HAKI?
Young Teacher said: Kuna jamaa amefanya 2001 amepata Kukosa kupata ni mipango ya Mungu tu. Click to expand... Hapa wengi waliopata wanahonga watumishi wa bodi kuanzia laki mbili hadi kuendelea, rushwa tupu,wizi mtupu haki hakuna MWALIMU NYERERE ALISEMA, RUSHWA NI ADUI WA HAKI?
M mwenyenacho Member Joined Sep 23, 2013 Posts 86 Reaction score 65 Oct 7, 2013 #62 Siyo kwelin kabisa