watu waliojitokeza kumpokea Diamond mjin ukerewe

watu waliojitokeza kumpokea Diamond mjin ukerewe

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
hawakupelekwa na mganga,walienda wenyewe

attachment.php
 
Upuuzi mtupu, salama yako Diamond asiwe basha, lakini kama anapenda mambo ya pwani with no doubt umeshaliwa.
 
hii picha ya chini kushoto vidole kafanyeje huyu dogo.....au macho yangu hayaoni vizur
 
..mark of fremasons, two fingers...
 
snowhite njoo uone show ya diamond!!!!!
mbona we haupo kwenye hiyo picha jameni??????
 
Last edited by a moderator:
unaedai anampotezea mashabiki:mashabik wake wa kweli wanapenda wajue mwanamuzic wao yuko wap,anafanya nin,na music wake unaendleaje..SO ANAMPOTEZEA MASHABIK AMA ANAMPOTEZEA MA HATERS?
 
Sio washamba, media mind control is playing its part! radhia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Na alama yake ya pembe za shetani,


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Back
Top Bottom