Watu waliokufa na walio hai, idadi ipi kubwa?

Tunakufa wanazaliwa watu wenye fikra tofauti na ss tulio hai HV sasa ndio maana wale wote wagunduzi wamekufa wamekuja wappya wa kuguunganisha dunia kupitia simu tu

Sasa jiulize je nikisasi hiki ndio yenye maarifa au kile Cha watu wa mwak 1980 kwa harak tu Ni kuwacha kisasi Cha Sasa HV Kiko faster Sana na ugunduz na mambo ya kurahisisha magumu yaliyokuepo kipind Cha nyumaa HV tunatuzAmia kuwa watakuja kuwepo watu wapy wenye fikra tofaut na ss tusubiri tuone tu
Upo sahih kabisa mkuu
 
Sema Eva alizingua sana asingeshawishika kula tunda tusingekuwa tunakufa
 
Wafu ni wachache kuliko walio hai
Tupe ushahidi Mkuu..
Maana inasadikika kabla ya ghalika ya Nuhu, dunia ilikuwa na watu wapatao Bilioni 8 waliokuwa hai. Kumbuka toka Adamu hadi kwa Nuhu inakadiriwa kuwa miaka 2,000, toka kwa Nuhu hadi wakati wa kuzaliwa Yesu (Anno Domino) ni miaka 2,000, na toka kwa Yesu hadi leo ni miaka zaidi ya 2,000. So, hata kwa akili inayowaza haraka haraka, utaona kwamba watu waliokufa ni wengi kuliko walio hai. Kumbuka hapa tunalinganisaha idadi ya watu waliokuwepo kwa zaidi ya miaka 6,000 dhidi ya kizazi ambacho kipo kwa ndani ya miaka 100!!
 
Ushahidi wangu ni uchache wa makaburi na wingi wa wanaozaliwa kila siku
 
Tupe ushahidi Mkuu..
Maana inasadikika kabla ya ghalika ya Nuhu, dunia ilikuwa na watu wapatao Bilioni 8 waliokuwa hai. Kumbuka toka Adamu hadi kwa Nuhu inakadiriwa kuwa miaka 2,000, toka kwa Nuhu hadi wakati wa kuzaliwa Yesu (Anno Domino) ni miaka 2,000, na toka kwa Yesu hadi leo ni miaka zaidi ya 2,000. So, hata kwa akili inayowaza haraka haraka, utaona kwamba watu waliokufa ni wengi kuliko walio hai. Kumbuka hapa tunalinganisaha idadi ya watu waliokuwepo kwa zaidi ya miaka 6,000 dhidi ya kizazi ambacho kipo kwa ndani ya miaka 100!!
Ushahidi wangu ni uchache wa makaburi na wingi wa wanaozaliwa kila siku... Pia mimi ni mhudumu mstaafu wa nyumba ya wafu
 
hivi hata picha hamuoni
hebu jiulizeni watu wanapungua ama wanaongezeka?
 
Back
Top Bottom