Watu waliokufa na walio hai, idadi ipi kubwa?

Upo sahih kabisa mkuu
 
Sema Eva alizingua sana asingeshawishika kula tunda tusingekuwa tunakufa
 
Wafu ni wachache kuliko walio hai
Tupe ushahidi Mkuu..
Maana inasadikika kabla ya ghalika ya Nuhu, dunia ilikuwa na watu wapatao Bilioni 8 waliokuwa hai. Kumbuka toka Adamu hadi kwa Nuhu inakadiriwa kuwa miaka 2,000, toka kwa Nuhu hadi wakati wa kuzaliwa Yesu (Anno Domino) ni miaka 2,000, na toka kwa Yesu hadi leo ni miaka zaidi ya 2,000. So, hata kwa akili inayowaza haraka haraka, utaona kwamba watu waliokufa ni wengi kuliko walio hai. Kumbuka hapa tunalinganisaha idadi ya watu waliokuwepo kwa zaidi ya miaka 6,000 dhidi ya kizazi ambacho kipo kwa ndani ya miaka 100!!
 
Ushahidi wangu ni uchache wa makaburi na wingi wa wanaozaliwa kila siku
 
Ushahidi wangu ni uchache wa makaburi na wingi wa wanaozaliwa kila siku... Pia mimi ni mhudumu mstaafu wa nyumba ya wafu
 
Ukiangalia miti inakatwa zaidi kuliko inavyopandwa. Naona waliokufa ni wengi zaidi.
 
hivi hata picha hamuoni
hebu jiulizeni watu wanapungua ama wanaongezeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…