YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kuna uhusiano mkubwa kati ya uwezo wa kimasomo ya sayansi na maisha magumu aliyokulia mtu.
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua wengi ambao huwa na stamina na uwezo wa kusoma digrii ya pili na ya tatu ya masomo ya sayansi hapa nazungumzia "pure science" sio digrii za sayansi za arts kama Political Science, Finance au Economics n.k, naongelea "pure science" Kama Udaktari, Engineering, Hisabati n.k
Wanaotoka familia duni na zenye maisha magumu ndio wengi wao huwa na stamina na uwezo mkubwa wa kuzisoma. Na ndio wengi walimu wa hayo masomo vyuo vikuu na madaktari, mainjinia bingwa n.k